Mkuu chanjo sio hiari, ni Kama sensa ya kuesabu watu sio hiari, sensa haina maana Kama wengine watahesabiwa na wengine wakatae kuhesabiwa.
Utakumbuka kulikua na viongozi wa wwaisilam walijaribu kushawishi waumini wao wakatae kuhesabiwa, serikali ilichukua hatua Kali na haraka za kuwatafuta na kuwaweka ndani, ninashangazwa na kitendo cha serikali kutomkamata Gwajima wakati anapotosha watu hadharani.
Coverage ya chanjo lazima ifikie zaidi ya 98% ndio iweze kudhibiti maambukizi nchi nzima, otherwise juhudi zote za serikali za kuutokomeza huu ugonjwa zitapotea bure.