Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bullet train iko Morocco pekee in Africa., 300km/hr., hiyo takataka yenu ni a mere SGR powered by electricity, with speed difference ya 20km na ya Kenya 40km ikizidi, which haifiki hiyo full speed at any particular time., Average maximum itakua just 100-120km/hr., Another "slow" train as the Chinese call them in China., and cheap. I doubt it will manage freight., Aibu kama ya Ethiopia loading, hiyo itakua ni ya dala dala tu😂
Povu😂😂😂
 
Watanzania hile tournament yenu ya uchawi itafanyika lini?😂😂😂 Kenya is now winning in every sport we participate in.

IMG_20210717_210509.jpg
IMG_20210717_210524.jpg
IMG_20210717_210515.jpg
IMG_20210717_210631.jpg
 
Tz ni nchi ambayo Mwenyezi Mungu aliiumba kimkakati, imezungukwa na nchi 8, ni uzembe wa viongozi tuliokuwa nao miaka ya nyuma kushindwa kuifanya hii nchi kuwa developed na ndiyo maana miaka michache baada ya kuongozwa Magufuli ikaanza kufanya projects kubwa kubwa kwa pesa za ndani.

Hivyo usitegemee ur failed SGR kuizidi Central corridor kwa mapato never.
Ongeleaje ushindani wa mada Mambo ya kulinganisha viongozi wa Tanzania kwenye hii threat ni misconception and irrelevant
 
lets take 1minute to pray for our brothers and sisters in south africa. unrest, chaos, looting and deaths, after xuma's court ruling to jail him for 1yr 3months
 
Nicxie kariakoo to posta ukifuata main road haipiti kilomita mbili lkn ukikatiza mwnywe ni less than 2km wasikudanganye kabisa yani
Niliona kilaza alichora ramani ya kupitia barabara ya mbali ndio aonekana mjanja. Nilitaka nimuulize mbona aliamua kutumia hiyo njia ya mzungunguko nikakumbuka nadeal na mjinga nikaamua tu kunyamaza. Swali ni mbona alitumia hiyo barabara ya mbali wakati kuna barabara straight kutoka Posta hadi Kariakoo?

Ni kama mimi pia niseme nikitaka kuenda Westlands kutoka cbd ni lazima niende all the way to kileleshwa ndio niende westy. Of course nitafika but it's a longer route compared to the usual one ya Waiyaki way.

Posta hadi Kariakoo is actually less than a kilometer ila vilaza hapa wanalazisha iwe mbali kuliko uhalisia.
 
Watawadanganya wale wasiopajua, hzo wanzokutajia ni main road, yani kiufupi mnazi mmoja ni sehemu unapita kuelekea posta na pia vile vile si mbali na kariakoo km ukikatiza mwnywe kw mguu..

Yule kilaza mmoja anasema eti boundaries ni towers
 
Habari zenu Kenya huaga zinatuacha kinywa wazi 🙂
Umeona bullet train za tz🙂?
Don't twist this thing ni**r. We are your big brothers so you must check what's happening here. While you follow every little detail of Kenyan news on Kenyan news channels, wengine wetu hata hatujui majina za news channels zenu
 
Back
Top Bottom