The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Eti 3km! Hawa wanafikiri kila mtu hapa ni kilaza kama wao?!Mada ya kariakoo wameikimbia baada ya kuja kuwaumbua
Kw sasa hawana hamu nayo tena kabisa
Hebu Google alafu tuletee jibu, yanini mahangaikoEti 3km! Hawa wanafikiri kila mtu hapa ni kilaza kama wao?!















































Hapo ume fail mtihani wabongo hatunaga mda na nyinyi🙂polee SanaDon't twist this thing ni**r. We are your big brothers so you must check what's happening here. While you follow every little detail of Kenyan news on Kenyan news channels, wengine wetu hata hatujui majina za news channels zenu
Ndiyo maana kila kukicha wanafurika kwenye platform za Tz, ifikapo 2030 90% ya Wakenya watakuwa humu Jf, ndio maana huwa nafurahi sana tukiwapa kichapo humu ili waka hadithie wenzaoHapo ume fail mtihani wabongo hatunaga mda na nyinyipolee Sana
Nyie ndo mmejaa kwenye blog na page za wabongo mkifatilia habar za the great Tanzania.
Ndo maana bongo musiq inatawala huko![]()

















Picha kali sn hii.Ohio Street from IT plaza rooftop
View attachment 1857557



Ni wapi umeona milimani city? SGR yenu ikianza kutumika leta mjadala. Hatuwezi kujadili kitu bado iko under construction ambayo haijasafirisha kitu, hata mende bado. Productivity ndo muhimu, hata Ethiopia wakona electric lakini our revenue numbers ziko juu zaidi compared to their fancy electric railway. Yenu ikianza kazi mtajoin mjadala tupime numbers.
hamjawai kuacha hadithi za wazungu walijenga kenya 😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂🤣 it's always funny it never gets old😂😂😂 at least you find something to console your lazy a$$Eti Kenya ishindane na Tz mtaweza wapi!! Yani Wakenya mnatumia nguvu nyingi since Uhuru na wazungu walisaidia kujenga baadhi ya vimradi lkn Tz miaka yote hiyo inasaidia nchi jirani kupata Uhuru, now after few years Tz imeanza kujenga uchumi ghafla imeanza kustua duniaView attachment 1857171View attachment 1857172View attachment 1857173View attachment 1857174View attachment 1857175View attachment 1857176View attachment 1857177View attachment 1857178View attachment 1857180
Hamna mda na sisi kivipi wakati mwenzako kaleta habari ya tukio nchini Kenya tena by a Kenyan news channel hadi wewe mwenyewe ukacomment kuhusu habari yenyewe? How did you know about that story and how comes you follow it on a Kenyan news channel?Hapo ume fail mtihani wabongo hatunaga mda na nyinyi🙂polee Sana
Nyie ndo mmejaa kwenye blog na page za wabongo mkifatilia habar za the great Tanzania.
Ndo maana bongo musiq inatawala huko🙂