Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waaaa nikama huelewi kingereza kwasababu your reply does not make sense. Tunaongelea holding capacity ya ports wewe unajibu na maneno ya reli.

Wewe ndo huelewi, tunaongelea double decker electric SGR. Wewe sijui unataja nini tena.
🤣🤣🤣
 
mjue nn.. ishu nyingine kuhusu SGR.. sisi hatutatumii hela nyingine kununua diesel kutoka nje kuendeshea trains mana zetu ni za umeme..tutatumia umeme wetu, lkn majiran wanatumia extra money kununua diesel... nashangaa sana tunaendelea kuargue na hawa watu kuhusu SGR

Baelese, baelese aboo.
 
Mida ya saa moja kucheck Furious 9 .

IMG_9436.jpg

IMG_9437.jpg

IMG_9438.jpg

IMG_9439.jpg

IMG_9440.jpg

IMG_9441.jpg

IMG_9446.jpg
 
Watawadanganya wale wasiopajua, hzo wanzokutajia ni main road, yani kiufupi mnazi mmoja ni sehemu unapita kuelekea posta na pia vile vile si mbali na kariakoo km ukikatiza mwnywe kw mguu..

Yule kilaza mmoja anasema eti boundaries ni towers
Hoja zenu za kijinga kutoka post point gani hadi kkoo point gani ya mstari mnyoofu maana unapima mwisho na mwisho au katikati na katikati ,yaani post katikati hadi kkoo katikati
 
Mturuki hatari bana
emoji1787.png
emoji1787.png

Yani kawapiga jamaa vibaya, treni ikipata breakdown hakuna flow itaendelea kabisa..

Dar mkionyesha kitu km hiki natoka jf, bado mtazindua sanaView attachment 1857435View attachment 1857438

Hapo ni sehemu ya kujeuzia mzee
emoji1787.png
emoji1787.png
, sio kila treni inakuja na kutoka lazima zipishane moja inajeuza ikitoka ile inaigia
Km hivi
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png
..upoView attachment 1857448
Ila wew bhana šŸ˜‚ šŸ˜‚šŸ˜‚ ukiambiwa SGR ya bongo ni EUROPEAN standard uelewe .. haya ngoja nikupitishe kidogo ujionee kwa ground.
Screenshot_20210718-035525_1.jpg
Screenshot_20210718-035522_1.jpg
Screenshot_20210718-035536_1.jpg
Screenshot_20210718-035528_1.jpg
Screenshot_20210718-040007_1.jpg
Screenshot_20210718-035945_1.jpg
Screenshot_20210718-035814_1.jpg
Screenshot_20210718-035759_1.jpg
Screenshot_20210718-035801_1.jpg
Screenshot_20210718-035755_1.jpg
Screenshot_20210718-035817_1.jpg
Screenshot_20210718-035418_1.jpg
Screenshot_20210718-035422_1.jpg
alaf kwenye kiswahili hatuna neno "sehemu za kujeuzia" šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ ni "sehemu za kugeuzia" neno kugeuzia limetokana na neno GEUZA ambapo mzizi wake wa neno ni "GEUZ" unaweza kulinyumbua na kuunda maneno mengine kama Geuzia, Geuziana, Geuzo au pia unaweza kutumia aina zingine za uundaji wa maneno kama vile (affixation, reduplication, Compounding word formation n.k). kugeuzia limeundwa kwa kutumia njia ya uundaji ya maneno ya Uambishaji (affixation) ku-geuz-ia .. ku=priffix geuz=root ia=suffix
 
Hapo ume fail mtihani wabongo hatunaga mda na nyinyišŸ™‚polee Sana
Nyie ndo mmejaa kwenye blog na page za wabongo mkifatilia habar za the great Tanzania.
Ndo maana bongo musiq inatawala hukošŸ™‚
Sawa babaa..hatujakataa kimziki tunawaheshimu..lakini mambo mengine yote mnatuheshimu....makofii
 
Ila wew bhana šŸ˜‚ šŸ˜‚šŸ˜‚ ukiambiwa SGR ya bongo ni EUROPEAN standard uelewe .. haya ngoja nikupitishe kidogo ujionee kwa ground.View attachment 1857671View attachment 1857672View attachment 1857673View attachment 1857674View attachment 1857675View attachment 1857677View attachment 1857678View attachment 1857680View attachment 1857682View attachment 1857683View attachment 1857684View attachment 1857686View attachment 1857687alaf kwenye kiswahili hatuna neno "sehemu za kujeuzia" šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ ni "sehemu za kugeuzia" neno kugeuzia limetokana na neno GEUZA ambapo mzizi wake wa neno ni "GEUZ" unaweza kulinyumbua na kuunda maneno mengine kama Geuzia, Geuziana, Geuzo au pia unaweza kutumia aina zingine za uundaji wa maneno kama vile (affixation, reduplication, Compounding word formation n.k). kugeuzia limeundwa kwa kutumia njia ya uundaji ya maneno ya Uambishaji (affixation) ku-geuz-ia .. ku=priffix geuz=root ia=suffix
Nolipokuwa
Waulize wakunya wenzako kila siku sana potea dar wanaanza kulia kama watoto ,hapo nairobi mtu hawezi kipotea,mm mwenyewe siwezi kupotea
Hakika huwezi kupotea Nairobi..jiji limepangika vyema.. Barabara ziko fine...Mbona mtu apotee...Dar twapotea Kwa sababu ya ubovu na mchanganyiko upande wa planning
 
Back
Top Bottom