Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tobaa wewe kibwengo umetokea wapi tena..? hiyo hoja ya ukubwa au udogo ndiyo uzuri nani kaizungumzia.?.

njaa kweli mbaya,chapa kazi chokoraa uingize income wachana na unywaji chang'aa.
A fool can't even understand what he posted, idiot, I can buy you and your whole clan, and it ain't a saying, I have the ability, wewe ni fukara, your reasoning speaks volumes., Poverty stricken mentality, idiot!
 
Tz ni nchi ambayo Mwenyezi Mungu aliiumba kimkakati, imezungukwa na nchi 8, ni uzembe wa viongozi tuliokuwa nao miaka ya nyuma kushindwa kuifanya hii nchi kuwa developed na ndiyo maana miaka michache baada ya kuongozwa Magufuli ikaanza kufanya projects kubwa kubwa kwa pesa za ndani.

Hivyo usitegemee ur failed SGR kuizidi Central corridor kwa mapato never.
"Kwa pesa za ndani.."😂😂😂😂., ata pia mimi niliona ni kwa pesa za ndani., nyambaff.,
 
Wakuu nimeitoa kwenye thread moja hivi, huyu mbuzi anauliza treni yetu itageuzia wapi, nimecheka mnoo View attachment 1857414
Bwahaha

Umekimbia mzee
images.jpeg-39.jpg
 
A fool can't even understand what he posted, idiot, I can buy you and your whole clan, and it ain't a saying, I have the ability, wewe ni fukara, your reasoning speaks volume., Poverty stricken mentality, idiot!
Lusematic umeminya makende unaona alivyoruka
 
Mturuki hatari bana
Yani kawapiga jamaa vibaya, treni ikipata breakdown hakuna flow itaendelea kabisa..

Dar mkionyesha kitu km hiki natoka jf, bado mtazindua sana
images.jpeg-39.jpg
images.jpeg-40.jpg
 
Aisee mkuu hii habari Nina mashaka nayo, issue ya Caroline kujitoa uhai naona kama Iko fishy Sana inawezekana she was killed somewhere alafu akapandikizwa evidence! kama kisa cha father keisa kama unakumbuka siunajua wenzetu ndo zao au unaona hiyo habari imekaa aje?
KENYA
Mlijenga brt 15 years ago??? Motherfucker!🤣😂😁 Daladala kando ya brt ni mawe au wadudu? Ni brt au mto?😎🤓🤣😂😅!View attachment 1855740View attachment 1855741View attachment 1855742View attachment 1855743View attachment 1855744
KENYA beats EGPYT in zone 5 qualifiers FINALS 99-83.CONGRATS LIONESS
290EC13D-E2A8-4E86-9392-E0544113D03C.jpeg
 
Yani mtoto wa mjomba na shangazi tu
Kenya tunatumia diesel ku power engine wao wanatumia diesel kwa ajili ya kufua umeme ndio uende kw treni
Tz hatutumii diesel kufua umeme we use water na gas power. 40pct hydro 60pct gas na JNHPP ikija onstream umene wote utakuwa wa maji gas itakuwa ni kwaajili ya capacity tuu.
 
Unakaribishwa kuja kupanda bullet train ya Kwanza Africa
Bullet train iko Morocco pekee in Africa., 300km/hr., hiyo takataka yenu ni a mere SGR powered by electricity, with speed difference ya 20km na ya Kenya 40km ikizidi, which haifiki hiyo full speed at any particular time., Average maximum itakua just 100-120km/hr., Another "slow" train as the Chinese call them in China., and cheap. I doubt it will manage freight., Aibu kama ya Ethiopia loading, hiyo itakua ni ya dala dala tu😂
 
Back
Top Bottom