passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,798
- 13,034
Weka picha ya Kenya hii ni modal ya TanzaniaKila kitu mzee
Weka picha ya Kenya hii ni modal ya TanzaniaKila kitu mzee
Mbona trc wanasema tofauti[emoji1787][emoji1787]Kwanza mabehewa yetu ni double decker za kisasa ya kwetu ina spidi kuliko nyie acha kuropoka weka evidence.
Kw mkataba hyo model imeandikwa wapiWeka picha ya Kenya hii ni modal ya TanzaniaView attachment 1857363
Treni zenu za kubebea watu Sisi tutabeba mizigoKila kitu mzee
Nakwambia ukweliAcha kuropoka
Kasikilize video vizuriMbona trc wanasema tofauti[emoji1787][emoji1787]
Ukinionyesha sehemu mume order MEMU nitag please
Mzigo wa kwenda wapi huo, makutuporaTreni zenu za kubebea watu Sisi tutabeba mizigo
Treni zetu za mizigo ni nzuri kuliko treni zenu za abiriaNakwambia ukweli
Waziri kasema sio, mi nimesoma vizuri sana mkataba wa trc..labda useme trc hawajui wameandika niniKasikilize video vizuri
Uzuri kazini hauna nafasi, yani sgr dume letu la kubeba double stack ukamlinganishe na yule cha urembo wenu ambae hajui hta bandarini ataingia liniTreni zetu za mizigo ni nzuri kuliko treni zenu za abiriaView attachment 1857369
Hiyo hapoWaziri kasema sio, mi nimesoma vizuri sana mkataba wa trc..labda useme trc hawajui wameandika nini
Haya yetu inabeba wapi ulipoona yetu haiweziUzuri kazini hauna nafasi, yani sgr dume letu la kubeba double stack ukamlinganishe na yule cha urembo wenu ambae hajui hta bandarini ataingia lini
SomaMbona trc wanasema tofauti[emoji1787][emoji1787]
Ukinionyesha sehemu mume order MEMU nitag please
Hakuna MEMU hapo labda ukawaqmbie wa edit
Tena unaelewa kiswahili mzee, rudia kusoma vizuri hapo alafu urudi tena
Nikwambie kitu jomba, hiki swali utapata jibu lake ile siku utajua model ya treni zenu.Haya yetu inabeba wapi ulipoona yetu haiwezi
Kwamba huamini kama hizi ndo treni za Tz au?Nikwambie kitu jomba, hiki swali utapata jibu lake ile siku utajua model ya treni zenu.
Yani mawaziri wa tz wajua double stack alafu wasibwetuke mbele ya wanahabari
Ebhn ee kumbe Tanzania kuna maeneo kama ulaya sikuwa najua.
This is our modelNikwambie kitu jomba, hiki swali utapata jibu lake ile siku utajua model ya treni zenu.
Yani mawaziri wa tz wajua double stack alafu wasibwetuke mbele ya wanahabari
Umepotea sana mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vipi mkuu, kijiwe chetu kinaendeleaje?, Ninaona bado mnaendeleza bakora kwa jamaa zetu[emoji23][emoji23]