Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi yenu ya kwenda Uganda? Uganda is the market we were talking about. Ama ushachanganyikiwa ukasahau area of discussion?
Wapi pipeline yenu yenye uwezo wa kusafirisha crude oil ya Uganda kwenda Kenya, soko la Uganda tunalopigania ni kwa ajili ya mafuta ghafi ya Uganda kufikia duniani, sio kwa ajili ya kupeleka mafuta Uganda
 
Wapi pipeline yenu yenye uwezo wa kusafirisha crude oil ya Uganda kwenda Kenya, soko la Uganda tunalopigania ni kwa ajili ya mafuta ghafi ya Uganda kufikia duniani, sio kwa ajili ya kupeleka mafuta Uganda
Wapi yenu?
 
Hiyo yenu sio bullet train, the only bullet train in Africa Ni ya Morocco which travels at a speed of 320km/h. Hiyo ya Tz Ni same tu na ya Kenya.
Acha matusi train ya diasel ni Sawa na treni ya umeme na mabehewa ya kisasa?
 
Aisee mkuu hii habari Nina mashaka nayo, issue ya Caroline kujitoa uhai naona kama Iko fishy Sana inawezekana she was killed somewhere alafu akapandikizwa evidence! kama kisa cha father keisa kama unakumbuka siunajua wenzetu ndo zao au unaona hiyo habari imekaa aje?
Mnafatilia sana habari za Kenya! Hadi hii manaijua???
 
Ziko same cause all are traveling at a speed below 200km/h.
Angalia hapo alafu ongea tena
JamiiForums2044604409_256x144.jpg
 
Lumumba street/Morogoro Road intersection. Ghorofa za posta hizo hapo nyuma 1km away. Jiji ndogo hii
2846748_IMG_9430.jpg
 
Back
Top Bottom