Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Am sure hata watanzania wenzako huwa wanakushangaa. Wacha kulazimisha watu fikra zako na ujinga. Hii hapa chini ni picha ya Posta na Kariakoo. Unaona hiyo barabara katikati upana wake inatosha kilometers tatu? Wewe ni mjinga sana kijana
View attachment 1855295
Yaani mtu anaweza akasimama posta na kurusha jiwe Kariokoo na likafika.. 😂 😂 😂 😂






