Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Vijimiradi mbuzi, huku vipo kila halmashauriSasa chagua wewe, bridge moja au miradi hio yote ndo ujue mmepigwa.
Vijimiradi mbuzi, huku vipo kila halmashauriSasa chagua wewe, bridge moja au miradi hio yote ndo ujue mmepigwa.
Hahaha wajichanganye tu waoneTuna miradi mingi sn kwa kweli km vipi mnaonaje tuanzishe battle ya projects za over $0.2bn![]()
Kuna fala mmoja alikua anasema wanakusanya mapato ya kutosha kugharamia budget yetu, huku hawana uwezo wa kujenga hata robo ya miradi inayoendelea TanzaniaTuna miradi mingi sn kwa kweli km vipi mnaonaje tuanzishe battle ya projects za over $0.2bn![]()
Asa nani kakuambia Tanzania hakuna budgets za halmashauri? Alafu ulivyo kilaza hujui kama hiyo devolution mlikuja kuiga Tanzania huku tunaita local government au TAMISEMIBudget yetu miradi zetu hazifanani we have alot to do kila county sasa hivi inapewa pesa to develope every inch of kenya mazao ya devolution already tunayaona just 10 years later sasa bado 10 zingine we become untouchable
Mizigo mingi ya mombasa ni misaada ya chakula kutoka nchi wahisani sasa unajilinganisha na Tanzania ambayo inapokea zero imported food aids?Dar port ile ile ambayo ukichanganya mizigo yake yote na ya tanzania nzima haifikii nusu ya mombasa pekee🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Manina hii nchi sio level yenu kabisa
Zaidi ya 65% ya umeme wa Tanzania unatokana na domestic natural gas wakati zaidi ya 40% ya umeme wa Kunyaland unatokana na Mafuta mazito yanayokua imported kwa ajili ya generatorsMizigo mingi ya mombasa ni misaada ya chakula kutoka nchi wahisani sasa unajilinganisha na Tanzania ambayo inapokea zero imported food aids?
Kuropokwa tu.Zaidi ya 65% ya umeme wa Tanzania unatokana na domestic natural gas wakati zaidi ya 40% ya umeme wa Kunyaland unatokana na Mafuta mazito yanayokua imported kwa ajili ya generators
Bado unalinganisha mzigo wa Mombasa na Dar?
Yani hzo zote kw mpigo, mbona wachawi wasiumieSome of infrastructure projects in Mombasa
1. Changamwe interchange
2. Mikindani interchange
3. Jomvu interchange
4. Mombasa- mariakani highway(42km)
5. Makupa causeway bridge
6. Mwache bridge
7. Mteza bridge
8. Dongo kundu phase 2
9. Dongo kundu special economic zone
Comment ya mama mjamzito kabisa hiiMizigo mingi ya mombasa ni misaada ya chakula kutoka nchi wahisani sasa unajilinganisha na Tanzania ambayo inapokea zero imported food aids?
Local governments zilikua tangia kenyatta hukuAsa nani kakuambia Tanzania hakuna budgets za halmashauri? Alafu ulivyo kilaza hujui kama hiyo devolution mlikuja kuiga Tanzania huku tunaita local government au TAMISEMI






Bugdet yetu ya elimu inajenga sgr dar to makutupora alafu kunabakia change, upo!!Kuna fala mmoja alikua anasema wanakusanya mapato ya kutosha kugharamia budget yetu, huku hawana uwezo wa kujenga hata robo ya miradi inayoendelea Tanzania
Tuonyeshe interchange inayojengwa buzaVijimiradi mbuzi, huku vipo kila halmashauri
Kweli Kenya nchi ya upigaji,yaani mradi mazingira yale yale thamani yake imedouble.mbona sisi JNHP hazikupanda.Since 1979 bado mna mnaimba wimbo ule ule.
View attachment 1846257
Unasema ni uchafu wakati jiji lenu la pili Mwanza halina hata robo ya huo uchafuToa huu uchafu wewe 😂😂😂 .. weka interchange kali kama nilioweka mimi sio Unaleta uchafu hapa
Kijana wa Tandale leo umekuwa engineer all of a sudden? Not a private investigator again!? 😂 😂Na nawaambia ukweli leo tarehe 08.07.2021 kwamba hii interchange itaanguka, siombei iwe hivyo bali ni kwasababu ya jinsi ilivyojengwa ni kama imepachikwa tu, very low quality engineering.
Miradi ipi?????Kuna fala mmoja alikua anasema wanakusanya mapato ya kutosha kugharamia budget yetu, huku hawana uwezo wa kujenga hata robo ya miradi inayoendelea Tanzania
Hawa watu wanapenda kujifurahisha sana. That WB report talks so much positively about Nairobi than Dar. Yani Nairobi ticks all the right boxes wao wanabaki wakishangilia value of real estate ambayo on paper haina faida yoyote. Hiyo value iko na faida gani when it doesn't offer any return on investment, it's really hard to sell spaces in Dar and rents keep falling among other things?ufukara tatizo.., facts kill propaganda
Itakuwaje utajiri wakati kwenu real estate doesn't offer any return on investment, rents keep falling, and it's becoming extremely difficult for developers to sell spaces in Dar? Huo ndio utajiri? Kama Dar ni jiji tajiri mbona hata wanunuzi wa real estate projects hawapo? Bado nangoja ripoti inayoweka Dar mbele ya Nairobi kwenye ligi ya majiji tajiri. Mimi naweza kukuletea taarifa mbali mbali zinazosema Nairobi ni jiji tajiri kushinda DarReal estate sio utajiri ni nini?? Au zinajengwa na mawe sio pesa 😂😂😂😂 kweli elimu ni muhimu sana au munafkiri mkijua kiingereza ni elimu