Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, real estate sio utajiri. Na hata nikikuuliza unionyeshe hizo real estates hakuna kitu utanionyesha zaidi ya dream houses. Nimekuambia unionyeshe mahali Dar imetajwa mbele ya Nairobi kwa utajiri. Mbona unakwepa swali?
Real estate sio utajiri ni nini?? Au zinajengwa na mawe sio pesa 😂😂😂😂 kweli elimu ni muhimu sana au munafkiri mkijua kiingereza ni elimu
 
Tuko pamoja 🤣🤣🤣🤣

Kenya ukiiba pesa unshatakiwa inawekwa kwa news that why munaona more of this tanzania vyombo vya habari ni vya kusifu serikali tu hehe mko bado ile era tulikua tukiwa na moi msijali mtafunguka macho tu
 
Unaumwa Mavi wewe, $24bn umeitoa matakoni kwako au?
Nilikuambia Sisi ni league tofauti najua mabei hapo vitakutoa povu ana tafuta lappset total cost bythe time all the 32 berths zitakua zimekamilika with the three airports sgr na roads
 
View attachment 1846130View attachment 1846131Yani hii nchi ya ajabu sana, leo hii sikutarajia tuwe na expressway kali sana kama hii lakini ishatokea. Sijui kesho tutazindua mradi gani mwingine. Watanzania bado wanasubiri mkopo kutoka morocco🤣🤣
Hukutegemea mchina angepewa expressway miaka 30 awakamue nyongo 😂😂😂 sisi yetu masikio twitter kwenye pain pale hapo ndipo tutaona kwann mchina anawatandika viboko
 
Back
Top Bottom