Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bonge la blockbuster hilo kutoka kenya, wengine bado wanaangalia bongo movies ya mapenzi🤣 🤣 🤣 🤣
IMG_20210708_203826.jpg
 
Mzee wewe leta picha za Roads and Bridges. Mambo ya documentaries Tanzania zipo nyingi mno.
Tuambie barabara ipi na jina lake. Vilevile tuambie urefu wake.
Ni mingi na siwezi tafuta picha hizo zote atleast this gives an insight
 
Duh, leo ndo nimejua huku ndani kuna wachawi. The best 007 leo kazidiwa kuvumilia akaona atapike nyongo yake. Hawa wengine wanajikaza lakini moyoni wanajua Kenya babayao.
 
Wach video wacha panganga kwani wifi ilikatwa?
Mzee nianze ku watch video seriously!? Sasa tukianza kuwekeana video hapa si itafika asubuhi. Mfano tuwekeane kila mmoja video tatu tatu za dakika kumi kumi huoni video 6 dakika 60 which is one hour!!!
Leta jina la barabara na urefu wake.
 
Hiyo video nimekutag imesamurize close to 20 road projects
 
Back
Top Bottom