Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kesho Ni Nairobi ,Nakuru expressway,,223km😁

Kesho kutwa Ni Nairobi, Mombasa expressway,,470km

Na usisahau tunajenga dual currange way from Thika to Nyeri 84km

Hii nchi tamu Sana🔥🔥🔥🔥😜
Thanks for renders 🤣🤣🤣 nchi tamu
Expressway mchina 30yrs

alaf kesho tukiskia nakuru expressway france 50yrs

kazi yenu nyinyi ni kulipa pesa ziende kwa waume zenu au mm ndanganua 😆😆😆

wapi GDP ijenge iko ICU inaumwa corona🤣🤣🤣
 
View attachment 1846245
Hiyo moja tu imebeba tanzania na watu wake wote
Since 1979 bado mna mnaimba wimbo ule ule.
Screenshot_20210708-223050.png
 
Katika malazy wote huyu ndo waga hawezi jizuia, leo amesema anatamani miradi yetu ianguke. Kama si mchawi huyu ni nani 🤣 🤣
Labda huyo mchawi awe mchina 🤣🤣🤣

 
🤣🤣🤣🤣 nn hii unanionesha mm nilisema kabla ya lamu kua lamu ni white elephant na wakase wanauchumi wenu vile vile na kusudio la lamu port ilikua ni pipeline ya uganda ndio maana mukaenda kuweka pesa pale bila kujua mganda anaweza badilisha mawazo ya pipeline kuja tanzania 😂😂
Huyoooo amebadilisha gear angani 🤣😂😂😂😂 👇 👇
Future na ni white elephant project 🤣🤣
Kabla haijaisha ilishatabiriwa ni white elephant mpaka sasa hakuna any impact ilionekana au mm nasema urongo nioneshe meli yapili iliofunga nanga lamu baada ile ya kwanza 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom