Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunya nawapelekea moto mpk mnanichukia shenzi, hapa ni facts tu, nchi yenu ni ya kipuuzi sana inatoa ahadi ambazo haiwezi kutekeleza, mpk leo zaidi ya 50% budget yenu inafadhiwa na outsiders shenzi sana Kunyaland, yn mkenya yupo jehanam kabla hajafa alafu mnakuja kujilinganisha na Tz labda dunia iumbwe tena.
 
Dah, yaani Mchina bhana!😌😌😂😂
p054k4nx-300x300.jpg
VS
4c21c9c32097cb008cad55005c1c6f99.jpg
 
Itakuwaje utajiri wakati kwenu real estate doesn't offer any return on investment, rents keep falling, and it's becoming extremely difficult for developers to sell spaces in Dar? Huo ndio utajiri? Kama Dar ni jiji tajiri mbona hata wanunuzi wa real estate projects hawapo? Bado nangoja ripoti inayoweka Dar mbele ya Nairobi kwenye ligi ya majiji tajiri. Mimi naweza kukuletea taarifa mbali mbali zinazosema Nairobi ni jiji tajiri kushinda Dar
Kwani ukiskia real estate kwanza unaelewa nn ??? 🤣🤣🤣🤣 yani unachekesha sana unazungumzia utajiri wa eneo wakat 75% wako kwenye slums maisha ambayo hata nguruwe hawezi ishi, nchi ambayo wanafaidi wajanja tena makabila mawili tu kalenjin na kikuyu wengine kwangu pakavu tia mchuzi
Dar mtu kumiliki nyumba zaidi ya 30 ni kitu cha kawaida sana yani haoni ajabu sio nyinyi unakuta tajiri mmoja anamiliki estate ya 40b kirubi alaf wengine watamiliki nn na nusu ya eneo la nairobi ni misitu na national parks??
 
Wakunya nawapelekea moto mpk mnanichukia shenzi, hapa ni facts tu, nchi yenu ni ya kipuuzi sana inatoa ahadi ambazo haiwezi kutekeleza, mpk leo zaidi ya 50% budget yenu inafadhiwa na outsiders shenzi sana Kunyaland, yn mkenya yupo jehanam kabla hajafa alafu mnakuja kujilinganisha na Tz labda dunia iumbwe tena.
Na 50 iliobaki inalipa loan na mishahara 🤣🤣
 
Kama ilivyokuwa kwenye SGR, tayari wamepigwa tena kwenye BRT. Ona vituo na njia za mabasi zilivyo.
👇👇👇

1625816105270.png

Back
Top Bottom