Umewahi kujiuliza kwa mfano msingekuwa na huo mradi mngeshindana nn na Tz? Sisi tuna miradi mingi mikubwa tunafanya kwa wakati mmoja SGR, Ship buildings, Airports, JNHP, Ports, BRT, expressways etc.. hii miradi nimetaja hapa thamani yake ni kubwa mno hakuna nchi ya kufananisha East and Central Africa and even to many countries in Africa, sasa je kama mchina asingejenga hiyo road moja mnayokesha nayo humu je ungeongea nini kwa mfano, Mana cc tunaweka miradi mingi wenzetu mmeganda na expressway pekee asubuhi mchana jioni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]