Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa mfano zikiletwa kama hizo mtatuambia nn kwa mfano, we hutaki kuwa na kama hizo? Mbuzi wee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmepigwa [emoji1787][emoji1787] nchi ya kimaskini itoe wapi bullet trains, yani vidude vimechoka mbaya [emoji1787][emoji1787]
 
Mmepigwa [emoji1787][emoji1787] nchi ya kimaskini itoe wapi bullet trains, yani vidude vimechoka mbaya [emoji1787][emoji1787]
Coz we cant post something like knh yenye iko built on hectors of land then mnapost hospitali ime kodisha rooms kwa building
 
Hawataki hata kuisikia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So hospitali zirudiliwe and this time it's not about the beauty of pictures but the size and capacity of the hospital and capabilities like does it have a cancer treatment centre and stuff so we do level five hospitals and above and let it be the whole country because kenya facilities are spread all over not nairobi only
 
Train zenyewe mitumba yetu ya DMU zinaafadhali

Double stack hazibebi

Mizigo yenyewe hakuna alafu isitoshe yote inaishia dar slum.

Haya niambieni hawa maskini walihitaji SGR ama ndo walitaka kushindana na ndovu[emoji1787]
 
Kijana wa Tandale leo umekuwa engineer all of a sudden? Not a private investigator again!? [emoji23] [emoji23]
Just to remind you, kuna moja wenu alitabiri vivyo hivyo kuhusu expressway. Chuki zenu hazitafua dafu. Jengeni hiyo yenu quality pale Mwanza tuone
Jamaa kawa engineer ghafla[emoji1787][emoji1787]
 
Train zenyewe mitumba yetu ya DMU zinaafadhali

Double stack hazibebi

Mizigo yenyewe hakuna alafu isitoshe yote inaishia dar slum.

Haya niambieni hawa maskini walihitaji SGR ama ndo walitaka kushindana na ndovu[emoji1787]
Mizigo yote tanzania inaishia dar, sasa sijui hko makutupora watapeleka nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mizigo yote tanzania inaishia dar, sasa sijui hko makutupora watapeleka nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani wao bora waonekane wanashindana na nchi kubwa kenya.

Hivi karibuni utaskia wanazindua expressway ya kijuakali [emoji1787]
 
1625824843360.png
 
Back
Top Bottom