Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Some of infrastructure projects in Mombasa
1. Changamwe interchange
2. Mikindani interchange
3. Jomvu interchange
4. Mombasa- mariakani highway(42km)
5. Makupa causeway bridge
6. Mwache bridge
7. Mteza bridge
8. Dongo kundu phase 2
9. Dongo kundu special economic zone
Weka na picha zake pia 🤣🤣🤣🤣 au render pia itasaidia
 
Km5 tu za reli mmeenda France kuomba msaada na ngoma imenyopa
Budget yetu miradi zetu hazifanani we have alot to do kila county sasa hivi inapewa pesa to develope every inch of kenya mazao ya devolution already tunayaona just 10 years later sasa bado 10 zingine we become untouchable
 
Jibu hili Kwanza mlitudanganya mna chakula vya kutosha mbona hivi tena kumbe porojo tu nkt.https://twitter.com/WBTanzania/status/1413096789322997762?s=19
Unataka nijibu kitu gani Mzee. Issue ya Software Development ilikushinda una mu quote genius utawezana!? 🤣 🤣🤣
 
Kenya ukiiba pesa unshatakiwa inawekwa kwa news that why munaona more of this tanzania vyombo vya habari ni vya kusifu serikali tu hehe mko bado ile era tulikua tukiwa na moi msijali mtafunguka macho tu

Bure kabisa, how displaying grafts in your news papers prevented it from happening!!!?
 
Kenya ukiiba pesa unshatakiwa inawekwa kwa news that why munaona more of this tanzania vyombo vya habari ni vya kusifu serikali tu hehe mko bado ile era tulikua tukiwa na moi msijali mtafunguka macho tu
Kwann uibe kwanza 🤣🤣 kwann kenya iko kwenye top 30 corrupt countries in the world ushawah jiuliza ??🤣🤣🤣

munaibiwa pesa na wajanja wachache alaf unakuja kushangilia humu, vijana hamuna ajira maisha yamewakalia kichwani bado unashangilia nn
 
Budget yetu miradi zetu hazifanani we have alot to do kila county sasa hivi inapewa pesa to develope every inch of kenya mazao ya devolution already tunayaona just 10 years later sasa bado 10 zingine we become untouchable
Where are they tuone ?? 😂😂 nusu ya budget munasubiri mikopo alaf nusu nyingine inaishia kulipa madeni na mishahara

miradi gani kenya inafanya kwa kutumia budget yake nitajie moja tu 😂😂😂😂

mchina anawapukulia kichogoni kwenye project zote

SGR pesa mchina loan
Expressway pesa mchina
Dongo kundu pesa mjapan loa
GTC mchina mmiliki

ni project gani taja moja tu 🤣🤣🤣
 
Where are the 32bearth of lamu port ?? Nioneshe 😂😂😂😂 wakat mumefungua bearth moja tu juzi hapa nioneshe hzo 32 mm nifunge acc sasa hvi forever
Bwagamoyo port mmezindua berth ngapi so far teh teh
 
Bwagamoyo port mmezindua berth ngapi so far teh teh
Bagamoyo bado wanafanya review kwasababu ya mkataba haukua fair sasa nyinyi hio 32 bearts ziko wapi????🤣🤣🤣

Wakat dar port expansion serekali imeweka over 350m usd na sasa inawapumulia kichogoni 😆😆😆
 
Bagamoyo bado wanafanya review kwasababu ya mkataba haukua fair sasa nyinyi hio 32 bearts ziko wapi????🤣🤣🤣

Wakat dar port expansion serekali imeweka over 350m usd na sasa inawapumulia kichogoni 😆😆😆
Dar port ile ile ambayo ukichanganya mizigo yake yote na ya tanzania nzima haifikii nusu ya mombasa pekee🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Manina hii nchi sio level yenu kabisa
 
Privete firm to run BRT buses for 12yrs 🤣🤣
Hvi mlirogwa na nani ??? Hio BRT mpaka sasa ishafeli miaka mitatu bado watu wanapeana pesa za umma kama pipi 😅😅😅

Dar port ile ile ambayo ukichanganya mizigo yake yote na ya tanzania nzima haifikii nusu ya mombasa pekee🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Manina hii nchi sio level yenu kabisa
Endelea kujipa matumaini hvo hvo mutashtukia manyoa tu 😂😂😂 sasa hvi dar tunaenda 25m tons per year as 2019 tuligonga 20m tone 🤣🤣

tulieni tu ngoma mutaicheza tu
 
Back
Top Bottom