Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lifestyle ya kenya na tanzania you cant compare tanzania hawana decent malls za kutosha hawana estates nzuri hawana lolote lakini mdomo nao????? Hehe
 
Hhakuna kujifanya kitu. Personally I can speak seven diffrent languages 3 being international mtu kujua lugha ya kumuwezesha kuongea na the rest of the world haithuru. Sasa nikue tu lugha ya mama nikisafiri itali nitaongea aje???? Nro aliitle bit of common sense
Haya "haithuru".. Nro aliitle bit of common sense
 
Chung chan is very aggressive.. Just keep awaiting for the results
Talking about deni.... mimi mwenyewe nina deni ya bank bank ilininunulia nyumba sasa wataka kuniambia Bora ningepanga than nyumba ninayo???? Bro if you borrow wisely utaishi vizuri kama mimi sasa hivi ninatype kutoka kwangu si kwa landlord thanks to mortgage ndo hizo picha za sasa hivi
20210624_113539.jpg
20210624_113539.jpg
20210624_113514.jpg
20210624_113525.jpg
 
Good evening to all Tanzanian witches. Kwa wale wenye walikuwa wanasema 88 Nairobi haitawaifika I'm here to remind you that you are more stupid than your dead president, Mr Mapadlocks.

View attachment 1823769
Na wewe bado unaweweseka!???..aisee Mr. Padlocks alikuwa mtu hatari sana yaani aliwahenyesha wabongo wavivu na wapiga deal hadi wakenya kudadaeki..magu alitufanya tuwe kama USA yaani akiamua kitu tz effects zake zinaonekana hadi poor land Kenya,naona hadi BBC news nao wanaweweseka na magu hadi Leo, nikiwa mkubwa natamani niwe kama magu???
 
Nitajie showroom moja Tanzania inauza magari brand new left hand Tanzania! Na kama haipo, kwann! ?
sorry, I'm not interested in this, but ishu ya left hand cars... magari ya left hand kwenye showroom bongo yapo.. mfano nenda pale barabara ya moroco kutokea mwenge upande wa kushoto.. opposite na finca bank.. au pale best bite au kule kuelekea nmb hq. in short, pita showroom zote kuanzia victoria mpg posta ya zaman utakuta few left hand cars
 
sorry, I'm not interested in this, but ishu ya left hand cars... magari ya left hand kwenye showroom bongo yapo.. mfano nenda pale barabara ya moroco kutokea mwenge upande wa kushoto.. opposite na finca bank.. au pale best bite au kule kuelekea nmb hq. in short, pita showroom zote kuanzia victoria mpg posta ya zaman utakuta few left hand cars
Brand new ? simaanishi showroom uchwara? believe me yakiwepo basi ni special order kwa ajili ya Burundi ama Rwanda ama DRC!
 
Tanzania ushuru wa gari ni chini nkt ningekua tanzania sahii ningejua naendesha Porsche
tafuta gari yoyote.. then tafuta total ushuru yake huko kenya... then nikuletee ushuru wa gari hiohio huku Tanzania tucompare.. are you ready for this challenge??
 
Ulivyoandika tu, inaonyesha huna exposure yeyote nje ya Bongo, ndio maana unaisifia BRT na SGR ya Tz hivyo kupita kiasi. Nakuelewa sana mkuu. Tembea mzee, usikae kijijini, akili inayokudanganya mko juu ya nchi zote duniani, ni akili ya bhage! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hivi medulla oblangata yako iko sawa wewe, ati "blue buses"? Hebu wacha kujiabisha wewe, watu walitumia Trams na metros tokea 80's mitaani, unaongelea Bus? Super speed trains zilikuwa toka hata hamjui kama mtapata reli ya SGR, kuanzia Uchina hadi Jangwani kwa wamanga, wewe leo hii unajamba jamba SGR?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Povu hili limemtoka mtu mwenye kufua haina haja ya sabuni
 
Tanzania ushuru wa gari ni chini nkt ningekua tanzania sahii ningejua naendesha Porsche

huu ni mfano tu nimekucalculatia...hii ndo kodi ya kulipia porsche hapa bongo..(bei ya kununua haipo hapa).. sasa niletee ya kwenu kulipia kodi ya porsche cayenne suv ya mwaka 2020.. inayotumia petrol.. engine capacity 2001-2500cc
Screen Shot 2021-06-24 at 12.22.43.png




vip bado unaweza kuendesha porsche Tanzania?
 
Yeah najua vizuri sana kuisoma na kuandika am a woke person me si wa kijiji kama wewe
Umaskini wa kenya na watanzania hufananishwi na pia tanzania mnafichwa vitu vingi you not fully democratic sisi unaona vitu vingi mtandaoni sababu people are free to post lakini hiyo haimaanishi you ain't at a worse actually way worse state than us
Kwamba Tanzania kuna umasikini kama wa Turkana na kibera halafu tunaficha
 
am still puzzled why Tanzanians are xenophobic like their south africans brothers, yet they have nothing much in their country...🤔
unlike Kenya which is more affluent and wealthy, we are more welcoming and accomodating and without any xenophobia or interference..
we have many undocumented, foreign Somalis in Eastleigh. Ethiopians in Githurai45. SouthSudanese in Zimmerman&Githurai44. Congolese in Donholm, Greenfields, Savanna and Kirinyaga Road. Indians and Pakistanis in Parklands and Westlands. Chinese in Hurlingham, JamesGichuru Road & Gikombaa market. Nigerians and Cameroonians in Roysambu . Rwandese, Ugandans and Burudians at various households and Clubs around Kileleshwa and Lavington area. Tanzanians in Kamukunji and Gikombaa market. Tanzanian beggers in our streets, but we still don't have any problems with them... 🤔 sisi ni wakarimu kweli
Ninyi si wakarimu,ninyi ni failed state
Illegal migrants wanaondoshwa hadi nchi za ulaya
 
Back
Top Bottom