Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Zambia na TZ zinagomeana kuhusu mizigo za kutoka kwenye port ya Dar,Zambia inatisha kuwa watapitiza Mizigo zao port Beira/Mozambique.Tafakari hayo🤔
Hawa si ndo wale wazembe waliodondoka na parachute juzi kati
GezaHeng Sawo(FB),sijui ka Huyo Ni wwe,Hawa jamaa hujenga nyumba za tope za ghorofa!
Kariakoo is not a CBD..but those photos are so beautiful.. Thanks for awesome picsA real image of Dar. Kenyans as you can see, it is true people live in the CBD in Dar es salaam. Look closely.
Quite shocking.
View attachment 1827903View attachment 1827905
Do I know you,I guess I don’t!?you seem like a low energy clown!Hawa si ndo wale wazembe waliodondoka na parachute juzi kati
Jibu swali,hao jamaa ndo waliodondoka na parachute juzi!???..acha kujifanya muingereza wakati ni mjaluo wa kisiiDo I know you,I guess I don’t!?you seem like a low energy clown!
nikujibu kama nani?Nenda kaulize mamako!Jibu swali,hao jamaa ndo waliodondoka na parachute juzi!???..acha kujifanya muingereza wakati ni mjaluo wa kisii
Nini maana ya mother tongue.? By definition, mother tongue is the first language for a person to acquire, the language which a person has grown up speaking from early childhood.. Kiswahili ni mother tongue kwa watanzania wengi kwasababu ya ile sera ya ujamaa, watu wa makabila tofauti walikutanishwa na Kiswahili wakaishi pamoja, wakaona, wakazaa, kitu kilichopelekea watoto wengi waliozaliwa kwenye majiji na towns kutojua kabisa vernacular languages za wazazi wao, kwa mfano Mimi binafsi sijui lugha ya baba wala mamaangu, najua Kiswahili na kiingereza kwa asilimia fulani basi.. NB: kuna hatari ya hiz vernacular languages kupotea kabisa hapa tz since watu wengi wanakimbilia mijini kuanzisha maisha, ni mara chache sana kukutana na mtanzania anaishi mjini akizungumza lugha za kikabila, na kwamaana hiyo basi Kiswahili has now become the mother tongue and the first language to many Tanzanians.. sijui unanielewa Simba .?
Slave mentalityhahahahahnimecheka yangu yote,..
eti bongo mafunzo ya maths, physics, chemistry, biology..
diploma, degree, masters, phd.. yote, mnafunzwa kwa kiswahili..!
mnashida kweli. ata juzi nilishangaa sana kuona certificate zenu za degree na masters kuandikwa kwa kiswahili.!! Realy! like seriously.
kumaanisha hautavuka nayo nje ya mipaka zenu, wala kupokea 'foreign students' in tz.. ole wangu watzii.
kenya we are small 'england'