Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimejaribu tu kutafuta ya Kenya nimepata hiv
nimegundua Tanzania tunatozwa kodi kubwa sana ukinunua gari😡
mfano.. angalia vipengele kama VAT, import duty, excise duty, railway dev levy.. ni kubwa kuliko kenya

Tanzania
Screen Shot 2021-06-24 at 12.45.05.png




kenya
Screen Shot 2021-06-24 at 13.01.39.png
 
sorry, I'm not interested in this, but ishu ya left hand cars... magari ya left hand kwenye showroom bongo yapo.. mfano nenda pale barabara ya moroco kutokea mwenge upande wa kushoto.. opposite na finca bank.. au pale best bite au kule kuelekea nmb hq. in short, pita showroom zote kuanzia victoria mpg posta ya zaman utakuta few left hand cars
Huwezi pata gari mpya kwa showroom tanzania na ni left hand gari Huwa zinaletwa showroom na specifications of the country showroom iko kama ni right hand ni right hand pekee.
 
Huwezi pata gari mpya kwa showroom tanzania na ni left hand gari Huwa zinaletwa showroom na specifications of the country showroom iko kama ni right hand ni right hand pekee.
I know nothing about brand new.. ila ishu ya kuwepo left hand, yapo
 
China is the most spoken language in the world kwa hivo sio hoja kutumia. ni vizuri kutukuza kiswahili lakini pia tumia lugha inakufungua to the rest of the world si basi mtumie lugha ya mama kama mnataka hehe mwachane na kiswahili
Kwani nani kakwambia Tanzania English haitumiki in daily social functions

Mfano mzuri ni huu, tena English ya Watanzania ni nzuri na classic kuliko hata waingereza

 
nimejaribu tu kutafuta ya Kenya nimepata hiv
nimegundua Tanzania tunatozwa kodi kubwa sana ukinunua gari😡
mfano.. angalia vipengele kama VAT, import duty, excise duty, railway dev levy.. ni kubwa kuliko kenya

Tanzania

nimejaribu tu kutafuta ya Kenya nimepata hiv
nimegundua Tanzania tunatozwa kodi kubwa sana ukinunua gari😡
mfano.. angalia vipengele kama VAT, import duty, excise duty, railway dev levy.. ni kubwa kuliko kenya

Tanzania
View attachment 1828425



kenya
View attachment 1828435
All that you calculated is just import duty nkt hehe do you know what you doing?
 
Nitajie showroom moja Tanzania inauza magari brand new left hand Tanzania! Na kama haipo, kwann! ?
Africa kujadili magari ya kifahari yanayotengenezwa Europe ni ujinga,sisi tunajdili wakati wazungu wao wanachukua uchumi wetu tuhimize wale wanaonunua mitambo au nyenzo ikiwemo magari ya kukuza uchumi badala ya magari yanayoharibu uchumi
 
Africa kujadili magari ya kifahari yanayotengenezwa Europe ni ujinga,sisi tunajdili wakati wazungu wao wanachukua uchumi wetu tuhimize wale wanaonunua mitambo au nyenzo ikiwemo magari ya kukuza uchumi badala ya magari yanayoharibu uchumi
Ndo maana namshauri Diamond Platnumz achutame maana yuko uchi kwenye hili! Na hizi PR za kitoto anazojititimua nazo zinamuharibia, auchune tu! Na si kununua second hand cars na kujitamba ati brand new kitu cha left hand kwa matumizi ya Tanzania! Atakuja kuambiwa atoe vielelezo vya manunuzi aone anadharaulika! Auchune tu na si kujiabisha adundulize alichonacho na si uongouongo hapa ananichafua!
 
We nae kumbe ni hater tu pole sana, kwani gari ikiwa ni left hand ikija tz bas ni lazima iwe imekwisha tumika.? Yani kwamba tz gari zote za left hand zinazoingizwa ni used.? Acha kuwaza na matako wewe, hujui chochote kuhusu Platnumz tuliza mshono, na amesema amenunua gari tatu Cadillac Escalade mbili na RR, by the way Cadillac Escalade black edition ya lexani motors 2020(upgraded) ni ghali kuliko Rolls-Royce 2021 in case you don't know, go google the price, hiv kwa akili zako timamu Platnumz ashindwe kununua gari zero km kweli.? Hiv unajua Platnumz ana gari zisizopungua tano tena zote ni juu 100m .? View attachment 1828236hizi alizinunua zero km, ama kwa hiyo gari nyeusi ni ya 2019 na hizo mbili nyeupe ni za 2020 .. alaf atashindwaje sasa kunua gari kama Cadillac Escalade jamani.? Alaf amenunua Cadillac Escalade mbili ujue ya kwanza ilikua hii hapa . Wenzako wanapata mhaho uko kama wewe unavyopata, mara ooh ile gari ya kwanza ilikua ya mtoto wa bakhresa, mara hii ya jana nayo ilikua gari ya lugumi amuweni wenyewe kanunua second hand kutoka ulaya na Dubai au ni gari za kina lugumi na mtoto bakhresa.. Yani haters ni vituko nyie loh, mara Cadillac Escalade sio luxury car , unaijua Cadillac Escalade we mpuuzi.? Au unataka nikuingize darasani na mada ya magari.? gari zinaendeshwa na akina j-zee, Donald Trump, Floid Mayweather, kim cardashian, Justin Bieber, tz yenyewe wanaomiliki ni watu wachache sana alaf uje useme sio luxury car kwasababu unamchukia Diamond, we ni matako nini.?
Geza Ulole ni km ana point
Emu acha nikae pembeni kwanza
 
Hivyo vitu sio vyako, hii sio taaluma yako utateseka sana mdogo angu .. kubali hujui kitu nikufundishe, heb fungua ubongo wako alaf ruhusu kitu kipya kiingie, penda sana kuwa msikilizaji kuliko unavyoongea, kwasababu ukiwa msikilizaji utapata vitu vipya Ila ukiwa muongeaji kuliko kuskiliza utakua uingizi kitu kipya kwasababu unaongea ambavyo tayari unavijua, tulia sasa dadaangu nikutie shule kidogo . Jibu kwanza hilo nililokupa hapo alaf naamini majibu utakayoyapata itakusaidia kuondolea huo utata ulionao.. kwaheri
Mbona nkm umekufa moyo mapema, nimekuletea kitu kwhyo na wewe unatakiwa ulete kingine kupinga..

Lkn nikushukuru kwanza, manake tangia niingie jf we kidogo unakaa kati ya wale watz waungwana.
Hakuna matusi wala vijembe vya kipumbavu..
Congrats kw ku stick kwnye mada
 
wacha ujinga nawe hizo km kwenye odometer watu wanacheza nazo inakaa hujui magari! Huwezi kuniambia ati ni brand new halafu unanunua left hand kutumia Tanzania! Huyu jamaa akae kimya na si kwa kujimwambafai huko! Hizo fedha zake azidundulize na kununua gari moja kali hata kama Mercedes S class moja brand new na si utitiri wa ma-used left hands! Jamaa anahitaji PR mzuri na si kuendeleza league za kipuuzi! Anadai kasaini mkataba wa $ 5 mln yet hawezi kununua gari brand new ya $150,000-200,000! Inaingia akilini? Diamond huyuhuyu tunayemjua? Tangu list ya Forbes jamaa kachanganikiwa kweli! Ila anavyoendelea hivi ndo anazidi kudhihirisha ukweli!
We mzee una balaa
Kuna siku hapa nilisema we ukiona kitu chochote cha kupinga unapinga tu hutaki kujali nini kitatokea
 
Diamond amenunua gari nyingine tena cardilac black edition 2020
Km ni left hand km wanavyosema basi kw asilimia hamsini naeza amini ni second hand..
Manake naona nkm anataka kutembelea nyota za sonko, ila tatizo za mike sonko ni right hand sasa sijui kwnn mondi anunue "left hand" pia huenda ana dhamira zake manake star lazima aongelewe..kwhyo hyo huenda ikawa ni strategy moja wapo ya kumfanya yeye kuendelea kubaki kwenye chati
 
Ni sababu they dint embrace it nationally that is the only issue... kenyan coast use it and they have better swahili than tz
Maeneo yote yaliopakana na Tanzania yanaongea kiswahili na huko cost ni part of it, kama kiswahili kingekua chenu saivi Somalia, Sudan, Ethiopia na wenyewe wangekuwa wanaongea kiswahili
 
Back
Top Bottom