We nae kumbe ni hater tu 😂😂😂 pole sana, kwani gari ikiwa ni left hand ikija tz bas ni lazima iwe imekwisha tumika.? Yani kwamba tz gari zote za left hand zinazoingizwa ni used.? Acha kuwaza na matako wewe, hujui chochote kuhusu Platnumz tuliza mshono, na amesema amenunua gari tatu Cadillac Escalade mbili na RR, by the way Cadillac Escalade black edition ya lexani motors 2020(upgraded) ni ghali kuliko Rolls-Royce 2021 in case you don't know, go google the price, hiv kwa akili zako timamu Platnumz ashindwe kununua gari zero km kweli.? Hiv unajua Platnumz ana gari zisizopungua tano tena zote ni juu 100m .?
View attachment 1828236hizi alizinunua zero km, ama kwa hiyo gari nyeusi ni ya 2019 na hizo mbili nyeupe ni za 2020 .. alaf atashindwaje sasa kunua gari kama Cadillac Escalade jamani.? 😂😂 Alaf amenunua Cadillac Escalade mbili ujue ya kwanza ilikua hii hapa
. Wenzako wanapata mhaho uko kama wewe unavyopata, mara ooh ile gari ya kwanza ilikua ya mtoto wa bakhresa, mara hii ya jana nayo ilikua gari ya lugumi 😂😂😂 amuweni wenyewe kanunua second hand kutoka ulaya na Dubai au ni gari za kina lugumi na mtoto bakhresa.. Yani haters ni vituko nyie loh, mara Cadillac Escalade sio luxury car 😂😂, unaijua Cadillac Escalade we mpuuzi.? Au unataka nikuingize darasani na mada ya magari.? gari zinaendeshwa na akina j-zee, Donald Trump, Floid Mayweather, kim cardashian, Justin Bieber, tz yenyewe wanaomiliki ni watu wachache sana alaf uje useme sio luxury car kwasababu unamchukia Diamond, we ni matako nini.?