Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua maana ya significant difference kwanza au ndio umekurupuka kuleta tu
Unajua huku kuna watoto wengi sana ambao english ndio first language kiswahili kwao tabu..
Kwhyo kwao english ndio itakua first language na mother tongue kabisa
Wasukuma waliozaliwa marekani nao tusemeje, mzee unapoenda google jaribu kuchambua kitu na kukielewa kwanza hii mambo ya ku copy paste ni utahira..

Eti hivi muingereza aliyezaliwa uchina n kukichukulia kichina km first language nae tunasemaje.. sasa kw mikanganyiko km hyo ndio manake wakakuwekea ya kwamba hakuna "significant difference" ikiwa na maana yake hyo
Sama boy 255 banawe sio 2pac shakur asiyejua kwao ..we si tulielewana km kwenu ni HANDENI kule kwa wachawi
20210624_080649.jpg
 
wacha ujinga nawe hizo km kwenye odometer watu wanacheza nazo inakaa hujui magari! Huwezi kuniambia ati ni brand new halafu unanunua left hand kutumia Tanzania! Huyu jamaa akae kimya na si kwa kujimwambafai huko! Hizo fedha zake azidundulize na kununua gari moja kali hata kama Mercedes S class moja brand new na si utitiri wa ma-used left hands! Jamaa anahitaji PR mzuri na si kuendeleza league za kipuuzi! Anadai kasaini mkataba wa $ 5 mln yet hawezi kununua gari brand new ya $150,000-200,000! Inaingia akilini? Diamond huyuhuyu tunayemjua? Tangu list ya Forbes jamaa kachanganikiwa kweli! Ila anavyoendelea hivi ndo anazidi kudhihirisha ukweli!
We nae kumbe ni hater tu 😂😂😂 pole sana, kwani gari ikiwa ni left hand ikija tz bas ni lazima iwe imekwisha tumika.? Yani kwamba tz gari zote za left hand zinazoingizwa ni used.? Acha kuwaza na matako wewe, hujui chochote kuhusu Platnumz tuliza mshono, na amesema amenunua gari tatu Cadillac Escalade mbili na RR, by the way Cadillac Escalade black edition ya lexani motors 2020(upgraded) ni ghali kuliko Rolls-Royce 2021 in case you don't know, go google the price, hiv kwa akili zako timamu Platnumz ashindwe kununua gari zero km kweli.? Hiv unajua Platnumz ana gari zisizopungua tano tena zote ni juu 100m .?
Screenshot_20210624-083638_1.jpg
hizi alizinunua zero km, ama kwa hiyo gari nyeusi ni ya 2019 na hizo mbili nyeupe ni za 2020 .. alaf atashindwaje sasa kunua gari kama Cadillac Escalade jamani.? 😂😂 Alaf amenunua Cadillac Escalade mbili ujue ya kwanza ilikua hii hapa . Wenzako wanapata mhaho uko kama wewe unavyopata, mara ooh ile gari ya kwanza ilikua ya mtoto wa bakhresa, mara hii ya jana nayo ilikua gari ya lugumi 😂😂😂 amuweni wenyewe kanunua second hand kutoka ulaya na Dubai au ni gari za kina lugumi na mtoto bakhresa.. Yani haters ni vituko nyie loh, mara Cadillac Escalade sio luxury car 😂😂, unaijua Cadillac Escalade we mpuuzi.? Au unataka nikuingize darasani na mada ya magari.? gari zinaendeshwa na akina j-zee, Donald Trump, Floid Mayweather, kim cardashian, Justin Bieber, tz yenyewe wanaomiliki ni watu wachache sana alaf uje useme sio luxury car kwasababu unamchukia Diamond, we ni matako nini.?
 
Haujui kitu tulia, sio dhambi kukubali kutojua kitu fulani, mother tongue ndio first language, pitia hapa View attachment 1828089nimekwambia Kiswahili ni mother tongue kwangu kwasababu, Mimi nimezaliwa mjini kabisa Tanga town, and my parents were not speaking their vernacular languages wao wenyewe wamekutanishwa na Kiswahili, babaangu ni mdigo na mamaangu ni msambaa, kwahyo mimi nimeanza kuongea Kiswahili (first language) kabla sijaanza kuongea lugha yoyote, nimeenda shule kujifunza kusoma na kuandika Kiswahili lakini sio kujifunza kuongea Kiswahili tofauti na wewe umeenda shule kujifunza kusoma, kuandika na kuongea kiingereza, ndio maana najivunia kukijua Kiswahili kwa upana wake.. Na kama bado utakua umekaza fuvu kwamba mother tongue sio first language bas ntakuacha na SWALI ulete majibu. "Mother tongue is not necessarily to be the mother's tongue, Discuss this statement with six points.
Huko mbali sana hasa hapo mwishoni mwishoni.
Mpe huu mtihani afanye
IMG_20210624_091100_830.JPG
 
Unajua maana ya significant difference kwanza au ndio umekurupuka kuleta tu
Unajua huku kuna watoto wengi sana ambao english ndio first language kiswahili kwao tabu..
Kwhyo kwao english ndio itakua first language na mother tongue kabisa
Wasukuma waliozaliwa marekani nao tusemeje, mzee unapoenda google jaribu kuchambua kitu na kukielewa kwanza hii mambo ya ku copy paste ni utahira..

Eti hivi muingereza aliyezaliwa uchina n kukichukulia kichina km first language nae tunasemaje.. sasa kw mikanganyiko km hyo ndio manake wakakuwekea ya kwamba hakuna "significant difference" ikiwa na maana yake hyo
Hivyo vitu sio vyako,😂😂 hii sio taaluma yako utateseka sana mdogo angu .. kubali hujui kitu nikufundishe, heb fungua ubongo wako alaf ruhusu kitu kipya kiingie, penda sana kuwa msikilizaji kuliko unavyoongea, kwasababu ukiwa msikilizaji utapata vitu vipya Ila ukiwa muongeaji kuliko kuskiliza utakua uingizi kitu kipya kwasababu unaongea ambavyo tayari unavijua, tulia sasa dadaangu nikutie shule kidogo . Jibu kwanza hilo nililokupa hapo alaf naamini majibu utakayoyapata itakusaidia kuondolea huo utata ulionao.. kwaheri
 
Huko mbali sana hasa hapo mwishoni mwishoni.
Mpe huu mtihani afanye View attachment 1828259
hahahahah 😂😂😂😂😂😆😆 nimecheka yangu yote,..
eti bongo mafunzo ya maths, physics, chemistry, biology..
diploma, degree, masters, phd.. yote, mnafunzwa kwa kiswahili..!🤔🤔
mnashida kweli. ata juzi nilishangaa sana kuona certificate zenu za degree na masters kuandikwa kwa kiswahili.!! Realy! like seriously.
kumaanisha hautavuka nayo nje ya mipaka zenu, wala kupokea 'foreign students' in tz.. ole wangu watzii.
kenya we small 'england'
 
Best views
We Simba nawe acha kuhangaika, mlima Kilimanjaro wote upo ndani ya mipaka ya Tanzania, sio kwamba labda eti kuna upande upo Tanzania alaf upande mwengine upo kenya lahasha, sasa itakua kua vipi best view ya mlima iwe kwenu jamani 😂😂😂, Nyie mnauona kwa uko kwenu ni sawa lakini mnauona kwa mbaali 😂😂😂 unaelewa lakini au unakaza fuvu tu.?
 
Hii nayo road, nani asiyeijua humu, umeipaka ndo unaiweka humu

Weka km ilivyo tucheke, btw enjoy View attachment 1828020
Niliwaambia vila BRT hamna lingine kila saa kila siku nkt kwani far ni mbovu aje? Apart from BRT hamna anything else interesting???? Tumekubali BRT yenyu is good but hili tu ndo mtashinda mkipost nkt ishakua story ya jana leta kipya
 
hahahahah nimecheka yangu yote,..
eti bongo mafunzo ya maths, physics, chemistry, biology..
diploma, degree, masters, phd.. yote, mnafunzwa kwa kiswahili..!
mnashida kweli. ata juzi nilishangaa sana kuona certificate zenu za degree na masters ilikua imeandikwa kwa kiswahili.!! Realy! like seriously.
kumaanisha hautavuka nayo kando ya mipaka zenu.. ole wangu wa bongo.
kenya we are small 'england'

Mental slavery inawatesa sana.

Wachina kufundishwa kwa kichina hushangai.

Waarabu kufundishwa kwa kiarabu hushangai.
Nchi mbalimbali kufundishwa kwa kutumia lugha zao hushangai.

Ila Watanzania kufundishwa kwa kiswahili unashangaa.

Kenya not yet Uhuru.
 
We Simba nawe acha kuhangaika, mlima Kilimanjaro wote upo ndani ya mipaka ya Tanzania, sio kwamba labda eti kuna upande upo Tanzania alaf upande mwengine upo kenya lahasha, sasa itakua kua vipi best view ya mlima iwe kwenu jamani 😂😂😂, Nyie mnauona kwa uko kwenu ni sawa lakini mnauona kwa mbaali 😂😂😂 unaelewa lakini au unakaza fuvu tu.?
Huko kuona kwa mbali ndo watu wengi wanapenda... ndo naita view. Stars Huwa ziko mbali but zinafanya view ya sky beautiful..... huwezi enjoy stars ukiwa huko lakini ukiwa chini zinapendeza.
 
Mental slavery inawatesa sana.

Wachina kufundishwa kwa kichina hushangai.

Waarabu kufundishwa kwa kiarabu hushangai.
Nchi mbalimbali kufundishwa kwa kutumia lugha zao hushangai.

Ila Watanzania kufundishwa kwa kiswahili unashangaa.

Kenya not yet Uhuru.
China is the most spoken language in the world kwa hivo sio hoja kutumia. ni vizuri kutukuza kiswahili lakini pia tumia lugha inakufungua to the rest of the world si basi mtumie lugha ya mama kama mnataka hehe mwachane na kiswahili
 
Mental slavery inawatesa sana.

Wachina kufundishwa kwa kichina hushangai.

Waarabu kufundishwa kwa kiarabu hushangai.
Nchi mbalimbali kufundishwa kwa kutumia lugha zao hushangai.

Ila Watanzania kufundishwa kwa kiswahili unashangaa.

Kenya not yet Uhuru.
Na kiswahili is not tanzanian actually its kenyan it started in kenyan coastal areas (lamu) and zanzibar ni vile tu tanzania took it as a national language
 
Huko kuona kwa mbali ndo watu wengi wanapenda... ndo naita view. Stars Huwa ziko mbali but zinafanya view ya sky beautiful..... huwezi enjoy stars ukiwa huko lakini ukiwa chini zinapendeza.
Ni kweli simba, lakini hivi unajua kwamba huo mlima sio mkubwa kuliko nchi nzima ya tz, ni kakitu kadogo ambako kako ndani ya tz, kwahyo kuna view za kila aina, ukitaka kuona kwa mbali ukitaka kuuona kwa karibu tena pande zote tunauona, unaelewa lakini Simba.?
 
Sijakataa but there is always the best spot and angle to view something.... all award winning photographs za mt kilimanjaro ziko shot from kenya... the famous photo ya elephant ikiwa mbele ya Mlima huo yenye hata tanzania inatumia to market kilimanjaro was shot in amboseli kenya.... sikatai mlima ni wenye but uko karibu na boarder and we got the best views of it
 
Back
Top Bottom