RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,418
- 135,059
Aisee kuna umuhimu hawa watu wakaangaliwa upya! Wasiachwe kuwa na nguvu kuliko sheria na taratibu!
Anaanza mmoja baada ya muda mfupi wanajaa barabara yote hio.
Aisee kuna umuhimu hawa watu wakaangaliwa upya! Wasiachwe kuwa na nguvu kuliko sheria na taratibu!
Duh kusoma tuu neno "more affluent and wealthy" [emoji115] picha ikanijia ya kibera, Mathare etc. Nikawa shocked kidogo na hii observation.
Hizi bus terminals nchi hii sasa imekuwa noma mzeiya, zipo nyingi mno.
Inakera sana kwakweli.Anaanza mmoja baada ya muda mfupi wanajaa barabara yote hio.
Kwa kweli ni nyingi sana kila kona ya nchii hii kuna jengwa jana nilikua maeneo ya kigamboni ebana pamejengeka balaa next time nakuja na picha za kufa mtu 😀😀Hizi bus terminals nchi hii sasa imekuwa noma mzeiya, zipo nyingi mno.
Hahahahahaaaa.Nikuwaonea huruma tu [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1825180
Maskini ya Mungu, pole sana
Ni moja ya matajiri wakubwa kenyaHuyu Manu Chandaria ndo tajiri wao Mkubwa huko kenya!
Nawahi fremu hapo kaka
Naona mawazo yako yamefanyiwa kazi. Kweli Jamii Forums is the home of great thinkers.
Kiswahili fasaha ni suala.Acha ungese basi! 🤐😂😂😂👇 👇 👇
View attachment 1814377
Kweli kabisa Swala ni Mnyama suala ni issue.Kiswahili fasaha ni suala.
tuko njema mkuuNaona mawazo yako yamefanyiwa kazi. Kweli Jamii Forums is the home of great thinkers.