Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mitaa ya ilala dar 👇👇👇 lindi st

D5C8001C-298A-4E88-8855-11320764B135.jpeg
079BB26F-873E-4C6F-861B-6263712D9721.jpeg
E45FF08F-18BB-42C3-B8E4-2BE319EB4B73.jpeg
72A4E3F7-034F-4790-86B3-FE90C2510727.jpeg
 
Nani alikuambia wakenya pekee ndio tuko ndani, haha, kuna reigning champ driver na co-driver wake, Wafaransa hapo, hatari sana.
Sébastien Ogier and Julien Ingrassia are the reigning drivers' and co-drivers' champions, having secured their seventh championship titles at the 2020 Rally Monza. Hyundai are the reigning manufacturers' champions and are defending their manufacturers' title for the second consecutive year.
Washashinda nchi tatu tayari,kati ya tano walizoshindana hadi sahi. Bakia nchi saba zimebaki Rally iishe. Next stop wako Nairobi/Naivasha...
 
Bahat yenu 🤣🤣🤣 siumeona chuma hio mzee mungekuna kichwa kisawasawa
 
Wako na dream ya majiji mengine duniani!!Badala ya kutengeneza signatures kwa ajili ya majiji yao wako bize kuiga iga,kinachokera zaidi wanajenga vitu sub standards,magorofa yote waliojenga kwa kuiga iga ni vituko way far ukifananisha na majengo yenyewe husika! Kwanza ni vifupi.Na mengine unawezakuta ni machafu tu muda wote,Ndo maana naipenda bongo tunajenga vitu vyetu wenyewe state of art kuanzia BRT stations those blue buses to SGR huwezi kuta sehemu yoyote duniani ila bongo tu!Patamu na panaponoga zaidi ni facilities za uhakika na imara zinazoweza kushindana sehemu yoyote duniani.
Ulivyoandika tu, inaonyesha huna exposure yeyote nje ya Bongo, ndio maana unaisifia BRT na SGR ya Tz hivyo kupita kiasi. Nakuelewa sana mkuu. Tembea mzee, usikae kijijini, akili inayokudanganya mko juu ya nchi zote duniani, ni akili ya bhage! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hivi medulla oblangata yako iko sawa wewe, ati "blue buses"? Hebu wacha kujiabisha wewe, watu walitumia Trams na metros tokea 80's mitaani, unaongelea Bus? Super speed trains zilikuwa toka hata hamjui kama mtapata reli ya SGR, kuanzia Uchina hadi Jangwani kwa wamanga, wewe leo hii unajamba jamba SGR?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
inaonekana walimu wako walipata sana shida kukuelewesha ulipokuwa unasoma. Hapa WAKUDAMSH hana maana kwamba TZ ndio wa kwanza kujenga vitu hivyo bali anaongelea uniqueness ya hivyo vitu tunaVyojenga especially in africa tofauti na nyie mambo yenu mengi ni copy & paste kuanzia majengo n.k hakuna uniqueness. UMEELEWA SASA SLUM BOY.
 
Kwa hivyo BRT, SGR ni unique huko kwenyu, aisee kutokusoma ni kubaya! Watu wanatumia flying & amphibious automobiles, wewe unaniambia BRT yenyu ni unique wakati zilikuwepo toka 70's...🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Logopit_1624172384684.png

Kajinyonge sasa 👇
1-Eiffel Tower ya France ina replicas - China, America, Germany, Pakistan, Russia nk...
2-The Maryhill, WA Stonehenge is a full-size, astronomically-aligned replica of Stonehenge located in Wiltshire, England.
3-China’s 'Fake' Cities Are Eerie Replicas of Paris, London and Jackson Hole, Wyoming. Many places where people live are replicas of other major cities in the world.
4-Replica of Mount Rushmore (Chongqing, China). The famous faces of the four American Presidents carved into Mount.
5-St Peter’s Basilica -- Nikko, Japan. Tobu World Square theme park in Nikko, Japan features 102 famous architectural and historic sites, all replicated at a 1/25 scale.

Ziko nyingi tu, na hizo nchi zote licha ya kufanya hivyo, hamuwezi wafika mpaka kiama... 😂 😂 😂 Nyie bakini na 'uniqueness' yenyu ya utopolo.
 
Tunataka uweke vyuma vya Kunyaland mzee acha kushobokea vya nchi za wengine. Kama hamna vyuma vya maana ni vizuri tu ukakubali na ndio uungwana siyo kujimwambafy huku huna chochote.
Hiyo picha ya kwanza ni ya KE, hizo zingine niza baadhi ya participants wa hizo nchi zingine zinazoshindana. 😂 😂 😂 My friend tuliza boli, hii kitu hata tunateuka sahi, aka zilipendwa... 😂
 
Back
Top Bottom