Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Swali lake la pili limeniacha hoi
Eti lahaja ya usanifishaji wa lugha ya kiswahili na wakati tayari historia imemaliza kila kitu.
Kiswahili bila waarabu na lugha za kutoka pwani hakingelikuwepo, sasa jamaa anataka kutuaminishia lugha zote za pwani zinafanana..
Kila watu walikua wakitumia lugha zao hku wakichanganya na kiarabu kiasi ili kupata kuelewana kati shughuli mbali mbali..

Mambo ya sanifu yalifanya kuja kw sababu za watu flani(hasa hasa walilenga kielimu zaidi) ili kusije kukawa na mkanganyiko..
Upo baba mzee osama
Msomi wa lugha kama mimi kujibizana na kilaza ni kujiaibisha.. Haya endelea na ujinga wako
 
Si garage hiyo, sasa Station ya Emali na hapo, wapi na wapi? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ’‰ ๐Ÿ’‰ ๐Ÿ’‰
Sasa hivi hamna cha kuonesha mnaishia kuweka emoji tu. Kenya kwisha habari yake.

Dar ni moto, utakuunguza kaa mbali.
IMG_20210522_131140.jpg
IMG_20210515_124148.jpg
 
something great is on the way.. bet it be some cash for Makutupora-Isaka SGR line

Mbona hatuoni mafaili,mavitabu na makaratasi juu meza kama ilivyokuwa mwendazake? Sasa tutaaminije? ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Back
Top Bottom