Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndiyo maana wakijua english ndiyo huwa wanajiona wasomi ,,,sababu ya hiyo total ndogo ya hao 1M[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

nimecheka sana
 
Wewe nawe, Mtu amezaliwa in a Swahili speaking family maana yake ni kuwa Kiswahili ni his mother tongue.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 bado mpaka leo munaforce sukari iwe chumvi yani hamutaki kuambiwa kwamba hamuna threw level interchange πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Rudi kwenye somo kwanza
 
Akaendelea kujilipua🀣🀣🀣, huoni hapo vile kunacurve downwards, hio inaashiria excavation, alafu levels hasi hesabiwi kama floors za nyumba 🀣🀣🀣, View attachment 1827444
Hio ndio ground level haya nioneshe underground hapo kama hii changaaaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mm hua situkani maisha hapa unakutana na nondo za adabu anglia reli na hayo mashamba yalipo ndio ground level hakuna under grond hapo hata kama utapost kwa kipofu atakwambia hakuna underground πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡





labda unisaidie ww kunionesha underground hapo ili nifunge acc jamii forum πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…