Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu anahesabu levels kama anavyohesabu floors za ghorofa 😆 😆 😆
 
Ameanza matusi kwa hasira kali 🤣🤣🤣🤣 hizo man made embarkments zinaashiria excavation hapo kwa interchange, if you blink you will miss it.
Alafu jifunze kutofautisha floor na levels kijana. Lazima nikuelimishehapa 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇View attachment 1827372
Where is the ground level mm nataka unioneshe ground level angali hiii reli 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇
39E0898E-8E2B-4DF5-95D7-37B663A4CA60.jpeg
 
Ameanza matusi kwa hasira kali 🤣🤣🤣🤣 hizo man made embarkments zinaashiria excavation hapo kwa interchange, if you blink you will miss it.
Alafu jifunze kutofautisha floor na levels kijana. Lazima nikuelimishehapa 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇View attachment 1827372
Umeona sehem ground level ipo 👇👇👇
7E301EEF-CEBB-4357-9329-2B0E6E7ECBE3.jpeg

hapa hakunq kitu kama hiii 🤣🤣👇👇👇👇
88B9F513-9289-4CE0-BE4D-7C7797DF9CCC.jpeg
 
Ameanza matusi kwa hasira kali 🤣🤣🤣🤣 hizo man made embarkments zinaashiria excavation hapo kwa interchange, if you blink you will miss it.
Alafu jifunze kutofautisha floor na levels kijana. Lazima nikuelimishehapa 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇View attachment 1827372
Ukipata sehemu nimetukana nitag 🤣🤣🤣
Umeona grond level ilipoanza 👇👇👇🤣 hakuna underground hapo yani kwa lugha fupu sukari itabaki sukari na chumvi ni chumvi tu
510FDCDE-7D90-47C6-9EFD-1ADD63B6E16B.jpeg
 
Ukipata sehemu nimetukana nitag
Umeona grond level ilipoanza hakuna underground hapo yani kwa lugha fupu sukari itabaki sukari na chumvi ni chumvi tu
View attachment 1827412
Maskini boya, yani unaona kabisa hyo roundabout imetoka kw ground level ndio ikakatiza juu ya hyo main road hapo chini lkn bado umeamua kujitoa ufahamu..

Endelea hvo hvo kuna cheti utakuja pokezwa badae, yani ubongo ukiganda kumbe inakua noma kiasi hichi..

Pole sana kilaza..
Wewe ni wa kupuuzwa tu, manakw unapingana mpka na kitu unachokiona hapo kuna mjadala tena au utahira huo..
Falambwanga
 
Ukipata sehemu nimetukana nitag 🤣🤣🤣
Umeona grond level ilipoanza 👇👇👇🤣 hakuna underground hapo yani kwa lugha fupu sukari itabaki sukari na chumvi ni chumvi tu
View attachment 1827412
Akaendelea kujilipua🤣🤣🤣, huoni hapo vile kunacurve downwards, hio inaashiria excavation, alafu levels hasi hesabiwi kama floors za nyumba 🤣🤣🤣,
IMG_20210623_114934_239.jpg
 
Umeona sehem ground level ipo 👇👇👇
View attachment 1827410

hapa hakunq kitu kama hiii 🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 1827411
Umeingia mtegoni🤣🤣🤣, huo mstari umeanza kabla ya interchange, hio barabara inashuka chini pole pole ndo maana nimekwambia ukiblink utaikosa. Changamwe three level interchange inakusumbua sana🤣🤣🤣,
 
Kiswahili chenu kipi, toka lini nyie mkawa na lugha.
Umekasirikaee
Kenya tunatumia kiswahili chetu, tunatumia kile kiswahili ambacho mababu zetu walikitumia tokea enzi za sultan katika mwambao wa pwani..
Poleni sana na "BAKITA" wenu na "swala" wenu
 
Back
Top Bottom