Acha kujichetua, nakwambia ukweli, mimi najua lugha ya kiswahili kwa upana wake, ukiachilia mbali kwamba kiswahili kwangu ni mother tongue (my 1st language) lakini pia kiswahili nimesoma mpaka chuo kikuu, ambapo from standard 1-7 kiswahili ilikua ni lugha ya kufundishia (language of instruction) na Somo, lakini from form 1-4 nimesoma kiswahili kama somo, mwisho from form 5-6 nimesoma HKL .yani H=History K=Kiswahili L=Linguistic .. hii inatosha kabisa Mimi kuwa mwalimu wako. Ntakufundisha History na kiswahili pamoja na historia yake Ili upunguze ujinga kidogo kama si kuuondoa kabisa.. NITAKUFUNDISHA BURE staki ada yako