Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Slutani ndio unamaanisha nini?
99.99% ya anavyoviandika humu havieleweki halafu anakuambia ni typing error.

Hadi unajiuliza ina maana yeye huwa kila akiandika ni lazima typing errors zitokee [emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleeni kuhangaika na typo error tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Keyboard yangu ina auto correct, sasa uzuri inaonyesha sindano zimepenya mpka mnakimbilia kwnywe uandishi[emoji1787][emoji1787]

Hoja kwishaaaa
 
Halafu kwa kujisifu sasa anajua kiswahili!
Jibu lako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Endeleeni kuhangaika na typo error tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Keyboard yangu ina auto correct, sasa uzuri inaonyesha sindano zimepenya mpka mnakimbilia kwnywe uandishi[emoji1787][emoji1787]

Hoja kwishaaaa
 
Sasa unaponiletea makasiriko ni mimi ndio nimeandika hiyo tweet?

Sidhani kama akili yako iko sawa.

Nimeandika "Mademu wa SA wanapaelewa sana Zanzibar." nashangaa nageuziwa kibao kuwa nimesema hao ni dolphins [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya ndio madhara ya ku copy paste, yani mpaka tweet za vilaza siku hizi nazo official source
 
images (32).jpeg
images (31).jpeg
the river estate is the tallest residential building in nairobi I believe. It's for people to live no office spaces
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Msemo wako dawa ni kwenda nao kwa ground [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm niligundua hakuna dawa nyingine zaidi ya kwenda na mkunya kwa ground [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ujinga inakusumbua sana bongolala! Kama hujui kitu si unyamaze tu? Three-level inamaanisha barabara yenye iko na levels tatu at an intersection. Pangani iko na level ya chini kabisa na ya kwanza ambayo ni underground tunnel. Level ya pili ni ground level na level ya tatu ni ile ya juu(flyover). Ni nini huelewi hapo ama maana ya neno level ndio hujui? Mbona unapenda ubishi hata kwa maswala ambayo hayafai ubishi?
So, after the completion of ubungo 3level interchange zen Pangani changed its name to 3level interchange [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom