Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ongeza huu uchafu hapoView attachment 1826982

Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
Una linganisha guta zuri hivyo sokoni na hii Mikokoteni shuttle as a commuter in CBD?

AU huoni Mikokoteni inabeba abiria cbd ya slums capital?

Polish_20210621_170602029.jpg
 
Kiswahili chenu lini?

2010 ndio Kunyaland inajua kuna kiswahili duniani wakati kamusi ya kwanza ya kiswahili ipo Tanzania toka 1890

View attachment 1827180
Muda mwingine muwe mnawapuuza hawa wajinga.

Yaani anafananisha kamusi ya kiswahili sanifu na translator za online.

Nyie wenyewe ni mashahidi kuwa translator za online mara kibao zinakosea ku-translate lugha mbalimbali.
 
Bythe way,Ule mtz aliyeniambia mambo ya Pemba Effect ako wapi???Sai Tanzania pia naskia mumevumbua Nini kuhusu Pluto???Nimeona kwa Habari ya France🔥🔥I don't know,Someone enlighten us🤔
 
Umeanza kujitoa ufahamu 😆 😆 😆 hiyo centre road inaanza kama ground level lakini inazamishwa chini ikifika kwa interchange, kama hii iko netherlands ambayo ni three level👇👇👇View attachment 1827026
Kweli nimekutana jinga wa aina yake angagilia hii rail pembeni iko sawa na hio barabara ya chini na tena iko juu ya ground level hiii hapa 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇

munataka kuforce sukari iwe chumvi 🤣🤣
 
Wanakwambia three level 🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoma imeingia kwenye handaki
Hii na pangani tofaut ni nini?? Makosa ni yale yale tu 😂😂😂😂
8C081BE4-1055-473B-BC18-206E06F49C68.jpeg
 
Kweli nimekutana jinga wa aina yake angagilia hii rail pembeni iko sawa na hio barabara ya chini na tena iko juu ya ground level hiii hapa 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇

munataka kuforce sukari iwe chumvi 🤣🤣
Ameanza matusi kwa hasira kali 🤣🤣🤣🤣 hizo man made embarkments zinaashiria excavation hapo kwa interchange, if you blink you will miss it.
Alafu jifunze kutofautisha floor na levels kijana. Lazima nikuelimishehapa 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
IMG_20210623_104124_950.jpg
 
Back
Top Bottom