tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Poa kijanaNafahamu hao ni kasa.
Mimi nimecopy tu link ya tweet yake.
Ju ulitaka ni-edit tweet yake wakati sina access nayo kwa maana ya password?
Poa kijanaNafahamu hao ni kasa.
Mimi nimecopy tu link ya tweet yake.
Ju ulitaka ni-edit tweet yake wakati sina access nayo kwa maana ya password?
Wacha kulazimisha mambo. Dolphins are dolphins and turtles are just turtles. These are totally different creatures with different characteristicsEeh, kule South Africa turtles wanaitwa dolphins.
SHAKEDOWN!Wanakwambia three level 🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoma imeingia kwenye handaki
Hii na pangani tofaut ni nini?? Makosa ni yale yale tu 😂😂😂😂View attachment 1827335
Wacha kulazimisha mambo. Dolphins are dolphins and turtles are just turtles. These are totally different creatures with different characteristics



Tunaongelea hiki mzee. Mambo ya Lita ni ujinga.Jengo la 88 litakuwa na ghorofa 44 na height ya 149 metres. Itakuwa tallest residential building in East and Central Africa. Kwenye majengo tumewapiga sana.
Naona kuna floor moja ya juu umekataa kuhesabu. Hio floor ambayo ina glass balcony.Tunaongelea hiki mzee. Mambo ya Lita ni ujinga.View attachment 1827546
Yaani lazima mtu awe mjinga kwelikweli ili kufikiri kwamba mzee kobe ni dolphin.Dolphins kivipi Au typo
Kamfundisheni spika wenu kuhesabu tarakimu kwanza ndio mje upyaMamaee!!BAKITA mnayoishadadia imeanza 1981
Hyo 1890 kawadanganye wakulugwa
Tena unajua maana ya official language![]()
Hata Mozambique wana kiswahili kabla yenu, DRC wana kiswahili kabla yenu tena wanaongea vizuri kuwazidi mungiki woteUmekasirikaee
Kenya tunatumia kiswahili chetu, tunatumia kile kiswahili ambacho mababu zetu walikitumia tokea enzi za sultan katika mwambao wa pwani..
Poleni sana na "BAKITA" wenu na "swala" wenu
Mashindano kumbe ya Wazungu 😅😅😅
Tunaongelea hiki mzee. Mambo ya Lita ni ujinga.View attachment 1827546
vivatowers.com
Sasa hao sea turtles wamegeuka wakawa dolphins? Mbona unajifanya mjuaji na hakuna unachokijua?Ngoja nikupe shule kidogo.
Hao sio turtles (Kobe) hao ni Sea turtles (Kasa).
Kuna tofauti kati ya turtles unayoiandika hapo na Sea turtles waliopo kwenye hiyo tweet.
Turtles wanaishi nchi kavu, Sea turtles wanaishi kwenye maji.
Halafu nashaangaa unaniletea makasiriko wakati account iliyopost hiyo tweet unaiona hapo![]()
Sasa unaponiletea makasiriko ni mimi ndio nimeandika hiyo tweet?Sasa hao sea turtles wamegeuka wakawa dolphins? Mbona unajifanya mjuaji na hakuna unachokijua?



Slutani ndio unamaanisha nini?Slutani hajui kitu km tanzania, yeye anatambua Zanzibar, mombasa, lamu, Unguja n.k...
Hayo maeneo ndio yalichochea sana kuja kw kiswahili, kwhyo weqe unataka kunihakikishi ya kwamba bantus wa kutokea hzo sehemu zote walikua wakitumia lugha..
Manake ujue pia kuna maneno mengine walitoa kutoka kw lugha zetu pendwa(local ) alafu mpuuzi mmoja anakuja kunitajia mimi BAKITA hata sijui ndio mnyama gani hyo
99.99% ya anavyoviandika humu havieleweki halafu anakuambia ni typing error.Slutani ndio unamaanisha nini?



Hayo mashindani wameandaa mungiki?
Halafu kwa kujisifu sasa anajua kiswahili!99.99% ya anavyoviandika humu havieleweki halafu anakuambia ni typing error.
Hadi unajiuliza ina maana yeye huwa kila akiandika ni lazima typing errors zitokee![]()
Weka sure yako tuone