Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe nawe, Mtu amezaliwa in a Swahili speaking family maana yake ni kuwa Kiswahili ni his mother tongue.
We kumbe ni mpuuzi sana..
Kuna tofauti kubwa sana ya mother tongue na first language basi kw taarifa yako
 
Ujinga inakusumbua sana bongolala! Kama hujui kitu si unyamaze tu? Three-level inamaanisha barabara yenye iko na levels tatu at an intersection. Pangani iko na level ya chini kabisa na ya kwanza ambayo ni underground tunnel. Level ya pili ni ground level na level ya tatu ni ile ya juu(flyover). Ni nini huelewi hapo ama maana ya neno level ndio hujui? Mbona unapenda ubishi hata kwa maswala ambayo hayafai ubishi?
Jamaa anafikiria level ni floors
 
Back
Top Bottom