ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,518
- 89,956
Ni ajabu kuona wajinga kama wewe unaombea maafa.hela za elnino zimeshakwenda na maji huku wanakwambia elnino ni jua kali 😆😆😆😆
machawa pia wameneemeka na hzo hela bila shaka
Mwaka juzi tuu hapo El Nino ilibiou madaraka yakakatika Nchi nzima na Serikali kukopa zaidi ya 1.5T kuyajenga Mikoa yote Sasa hivi pesa zimetengwa 730 bln na zinasubiria maafa yet watu mnaombea.
El Nino ya mvua isipokuja ni habari Njema pesa itatumika elsewhere ila ikija huto tuhela tunaweza ongezeka mara 6 zaidi.