Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good afternoon from Nairobi. I never knew that The Marquis was upgraded
images(261).jpg
images(268).jpg
 
Level gn nguo au? Hii mifala hii kweli tuna kazi ukanda huu, niambie mmeshinda vita gn zen uje kujigamba co unaniambia nguo.
Kwn tanzania kuna siku mumeshinda vita km nchi, manake KDF km jeshi limeteka maeneo kadhaa..
Mpka leo kismayu inamilikiwa na KDF

Haya na wewe nionyeshe TPDF km jeshi limefanya nini..tuanzie congo
 
Umeingia mtegoni, huo mstari umeanza kabla ya interchange, hio barabara inashuka chini pole pole ndo maana nimekwambia ukiblink utaikosa. Changamwe three level interchange inakusumbua sana,
Yani mstari wake mwnywe amechora ukishuka chini lkn bado jitu halishikanishi walai
 
Umekasirikaee
Kenya tunatumia kiswahili chetu, tunatumia kile kiswahili ambacho mababu zetu walikitumia tokea enzi za sultan katika mwambao wa pwani..
Poleni sana na "BAKITA" wenu na "swala" wenu
sultani alikuwa na makao makuu yake Tanzania katika mji wa Zanzibar, unalielewa hili?
 
Kwn tanzania kuna siku mumeshinda vita km nchi, manake KDF km jeshi limeteka maeneo kadhaa..
Mpka leo kismayu inamilikiwa na KDF

Haya na wewe nionyeshe TPDF km jeshi limefanya nini..tuanzie congo
acha kufananisha JWTZ na vitu vya ajabu ajabu kama kenya drinking force
 
sultani alikuwa na makao makuu yake Tanzania katika mji wa Zanzibar, unalielewa hili?
Slutani hajui kitu km tanzania, yeye anatambua Zanzibar, mombasa, lamu, Unguja n.k...

Hayo maeneo ndio yalichochea sana kuja kw kiswahili, kwhyo weqe unataka kunihakikishi ya kwamba bantus wa kutokea hzo sehemu zote walikua wakitumia lugha..
Manake ujue pia kuna maneno mengine walitoa kutoka kw lugha zetu pendwa(local ) alafu mpuuzi mmoja anakuja kunitajia mimi BAKITA hata sijui ndio mnyama gani hyo
 
Wanakwambia three level 🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoma imeingia kwenye handaki
Hii na pangani tofaut ni nini?? Makosa ni yale yale tu 😂😂😂😂View attachment 1827335
Ujinga inakusumbua sana bongolala! Kama hujui kitu si unyamaze tu? Three-level inamaanisha barabara yenye iko na levels tatu at an intersection. Pangani iko na level ya chini kabisa na ya kwanza ambayo ni underground tunnel. Level ya pili ni ground level na level ya tatu ni ile ya juu(flyover). Ni nini huelewi hapo ama maana ya neno level ndio hujui? Mbona unapenda ubishi hata kwa maswala ambayo hayafai ubishi?
 
Back
Top Bottom