Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaongelea hiki mzee. Mambo ya Lita ni ujinga.View attachment 1827546
Le'mac is a 25-floor building and it has always been sasa wewe sijui hizi hasira zako za uengineer fake unaleta za nini

Screenshot_20210623-171301~2.png

The laminated glass sky-walk is located on the 24th floor and even by just looking, there's one more floor above the skywalk. Hii battle ya high rises tulishawagonga kitambo sana sijui makasiriko ni ya nini
 

Wakunya mpo mpo tu,kiswahili hamjui kiingereza hamjui,yan nyie kwenye lugha mmebaki kukaririri tu,halafu ndio unadai unajua kiingereza,argue with wenye lugha yao sasa wewe mama

Kwa hivyo wewe pia umjiunga na yule kilaza mwenzako kukiri kwamba turtles leo hii wanaitwa dolphins?
 
So, after the completion of ubungo 3level interchange zen Pangani changed its name to 3level interchange
It has always been a three-level interchange. It hasn't changed any name coz bado yuitwa tu pangani interchange. Ulikuwa unataka tuipe jina ya 'pangani three-level interchange' ndio iwe ya aina hiyo?
 
Asante kwa render
Mlisema hivyo kuhusu GTC mwishowe hizo render leo ni six blocks of highrises. Mlisema hivyo kuhusu expressway mwishowe leo inawapa tumbo joto kuona speed ya ujenzi inavyoendelea. Mlisema hivyo kuhusu 88Nairobi mwishowe ujenzi unaendelea as I type this. Mmesema hivyo kuhusu miradi mingi ila mwishowe mnaibika tu. Hata hii River Estate unasema render na kitu hujui ni kwamba excavation inaendelea. Mtashikwa na heart attack kijana wa Tandale
 
Umesema hatujui kiingerez. Wewe unayeelewa kiingereza utuliko mbona hujui fofauti kati ya turtles na dolphins? Ama uliposema hatujui kiingereza ulimaanisha nini?
Una tabia ya kuwawekea watu maneno ambayo hawajasema.

Hii umeshindwa kujibu...Unaweza kunionesha sehemu nilipokiri kuwa hao ni dolphins?

Ni wapi nimesema hamjui kingereza?

Na ni wapi nimeshindwa kutofautisha dolphins na Sea turtles?
 
Back
Top Bottom