Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,398
- 7,252
Huwa wanafanya sana hayo mambo uwanjani...na nyie jana mkaamua kuigaKwn jwtz nao wanaruka, manake mpka waruke ndio tujue km wanaanguka au vipi[emoji1787][emoji1787]
Huwa wanafanya sana hayo mambo uwanjani...na nyie jana mkaamua kuigaKwn jwtz nao wanaruka, manake mpka waruke ndio tujue km wanaanguka au vipi[emoji1787][emoji1787]
Serekali ikukupa shamba kama hujaliendeleza inachukua mali yake ndio maana zikachukuliwa 🤣🤣🤣 hapo mlipo kamujajikomboa itakuaje kuwakomboa uganda 🤣🤣🤣🤣Ndio, kwanini iwapokonye ndugu zetu mashamba yao, ama kwa vile wengi wao ni dhaifu😂😂😂 lazima tuwakomboe hata uganda pia tutawakomboa.
Kwenye wheat flour hahaha karibuni sana tunawakaribisha huku 🤣🤣🤣🤣🤣Mama endelea hivo hivoView attachment 1805815
Yes nimeingia haya mwambie aje anilipue vzr namsubiria 🤣🤣🤣🤣Kajilipua bila kujua😂😂😂😂😂 Kim Dawizzy ameingia mtego wako, kazi kwako kumtafuna.
Wakiambiwa na Forbes watanzania wana millionaires wengi, wananuna 😁😁😁Na hapo hapo tanzania ina millionares mara tatu ya kenya uganda and rwanda combined 🤣🤣🤣🤣🤣
Muulize mseven alipokuja kenya alifanywaje, jiulize kwanini bobi wine alikuja kenya, jiulize kwanini free bobi wine hashtag ilitrend sana kenya.Serekali ikukupa shamba kama hujaliendeleza inachukua mali yake ndio maana zikachukuliwa 🤣🤣🤣 hapo mlipo kamujajikomboa itakuaje kuwakomboa uganda 🤣🤣🤣🤣
Sio unga bali kila kitu mpaka chupi mtavaa za kenya😂😂😂Kwenye wheat flour hahaha karibuni sana tunawakaribisha huku 🤣🤣🤣🤣🤣
Haya legeza kiuno ulipuliwe😂😂😂Yes nimeingia haya mwambie aje anilipue vzr namsubiria 🤣🤣🤣🤣
Nilienda kumtembelea ndugu yangu huko Tz, alikuwa mahututi kwa kipigo! 😬😬😬Hivi wewe ulishapona majeraha. 🤔🤔🤔
View attachment 1805789
View attachment 1805790
View attachment 1805791
View attachment 1805792
Mtizamo wenyu huo! 🤣
Hesabu za za kilaza wetu nambari moja wa jf[emoji1787][emoji1787]Mzee hesabu zako hazieleweki, 75 + 25 si ni mia, sasa hao wengine watokea wapi au ni dar[emoji23][emoji23][emoji23]
Bwahaha!!hzo mbwembwe huku wanafanya NYS jomba[emoji1787][emoji1787]kula yenyewe shida ndo ataweza kurusha mguu hv
Unasema Mombasa bado ghorofa 3 kuifikia dar wakati hata Nairobi hakuna hizo mbili
Wavunja matofali ni vijana wa kazi huku (NYS)... 😂 😂 😂kula yenyewe shida ndo ataweza kurusha mguu hv
pambana na haliyakoModerator fungua uzi wa watoto wa nursery, mmoja huyu[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]