Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu ameshindwa kuzuia uchungu
auwez shinda uchungu anaosikia huyu mjaluo hapa kwa kubaguliwa na wakunya wenzenu ndani ya nchi yake hadi aokolewe na polisi
20201214_150115.jpg
 
Kimeumana, dawa naona inafanya kazi hadi "Judas" amewaingia akilini. Ni kwenyu, that's a fact, alafu acheni kuwafukuza kwenye slums wale watu, eti ndio mnyakue ardhi yao, duh! 🤣 🤣 🤣 🤣
Ona mlivokua mataira yani mtu anatengeza blog anaweka picha ya kibera anakwambia dar alaf mutasema munaakili nyinyi 🤣🤣🤣
 
Kwenu mashamba yote ni ya serikali, nyinyi wote ni masquatter au unapinga😁😁😁
Ndio inavotakiwa lazma mashamba yawe chini ya usmamizia wa serekali sio watu wawili tu wanamiliki robo ya kenya 🤣🤣
13245543-FDAB-43B1-95D1-461C615FEA13.jpeg
 
Billionare sio, mmeongeza wengine au ni zile bilioni za Bongo tunaongelelea? 😂
Sasa huyu sio billionaire ni mwenzio? 😁😁😁😁
REA Tanzania phase 3 iligharimu zaidi ya Trillion 1.5, yeye anasupply most of poles, kwa nini asiwe billionare?

 
🤣🤣🤣🤣 siku hzi ili wapunguze maumivu wanatengeza blog wanapachika picha za ovyo waseme dar 👇👇👇👇👇
D77E6B5A-FB4D-48A8-B6F0-126DF9C8F120.jpeg
B7DCE639-846D-4E52-834F-8258512E5E18.jpeg
 
Hivi wewe Komora mbona hujiamini kiasi hicho? Au unadhani kufungua akaunti nyingi hapa jf ndio utawin hii battle? Mara unajiita Coconut Reborn, mara Kim Dawizzy (wizard). Tulia na id yako ya Komora bwana acha kuyumbisha dish lako!
Watuuuuuee!!kuna jamaa ana tumbo la kuharisha hku jamani, mpisheni jamani asije akajiharibia[emoji1787][emoji1787]
 
Sasa huyu sio billionaire ni mwenzio? 😁😁😁😁
REA Tanzania phase 3 iligharimu zaidi ya Trillion 1.5, yeye anasupply most of poles, kwa nini asiwe billionare?


Na hapo hapo tanzania ina millionares mara tatu ya kenya uganda and rwanda combined 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa huyu sio billionaire ni mwenzio? 😁😁😁😁
REA Tanzania phase 3 iligharimu zaidi ya Trillion 1.5, yeye anasupply most of poles, kwa nini asiwe billionare?


Tshs billionaire au US dollars billionare???
 
Back
Top Bottom