Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe hajajenga? 😂
Professor jay hajajenga nn ??
14D2CACA-613C-446A-BA72-F4566F392667.jpeg
 
kuna baadhi ya mafundi furnitures watoto wa keko kibao nawajua wapo nairobi na mombasa wamefungua ofisi za itengenezaji sofa huko aisee wanasema wanapiga pesa kinoma,japo wakenya wengi choka huwa wanashindwa kununua ila wateja wao wakuu ni matajiri yaani wanasiasa na investors
Kweli kabisa
Kenya wanaonunua masofa ni investors na wanasiasa tu
 
Hiyo ni moja ya mbinu ambayo huwa wanaitumia kupunguza maumivu yao.

Ukiona wanapost maelezo mengi na kuandika taarabu ujue ni mbinu ya kupunguza maumivu.

Ukiona wanapost picha za kuokota mitandaoni ujue ni maumivu wanapunguza.

Wabongo punguzeni sindano
Keko si inakuumiza sana kumbe, mpka umekuja kulilia sebuleni
 
Kwani ni yetu, ni huruma tunawaonea, yaani fisiemu na Kim wa N.K. ni kama madungu vile kwa mambo ya huko. Naskia watu wanapotezwa siku hizi? 😂
Jubilee imeuza nchi kwa wachina au nadanganya 🤣🤣🤣🤣 mwenzako akasema america atakuja kuwaokoa
 
Back
Top Bottom