Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wee kingwendu, hujui humour??? Aisee shule muhimu kwenda nyie mabruda!!! Yaani unajiabisha mbele yangu wewe! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
budaa kaa mbali na mimi usijeniambukiza ujinga
takataka wewe...
 
kuna baadhi ya mafundi furnitures watoto wa keko kibao nawajua wapo nairobi na mombasa wamefungua ofisi za itengenezaji sofa huko aisee wanasema wanapiga pesa kinoma,japo wakenya wengi choka huwa wanashindwa kununua ila wateja wao wakuu ni matajiri yaani wanasiasa na investors
Utanunuaje bidhaa zenye hazina quality poa ndio umfurahishe mtu, no way! 🤣 🤣 🤣 Hao investors na wanasiasa wametoka Bongo?? unapewa chai nawe unainywa, kweli story za vijiweni ka ni hivi basi zinawazuzua?! 🤣 🤣 🤣
 
Umeshawahi ona akari wa JWTZ
wakianguka kama magunia mwenye demonstration kiwanjani? Tena mbele ya raisi?
kuanguka kizembe ni kosa la kijeshi ,,,,ningekuwa mkuu wa jeshi la kenya ninge washoot hao wote waliojuu kwenye hizo sherehe
 
kuna baadhi ya mafundi furnitures watoto wa keko kibao nawajua wapo nairobi na mombasa wamefungua ofisi za itengenezaji sofa huko aisee wanasema wanapiga pesa kinoma,japo wakenya wengi choka huwa wanashindwa kununua ila wateja wao wakuu ni matajiri yaani wanasiasa na investors
Watanzania kwenye creativity nawakubali

Hata huyu jamaa analamba pesa za wakenya si kawaida

kuanguka kizembe ni kosa la kijeshi ,,,,ningekuwa mkuu wa jeshi la kenya ninge washoot hao wote waliojuu kwenye hizo sherehe
Uzuri KE sio North Korea ndogo(Tz)

Vipi kule Gongo la Mboto, mliwapiga risasi wale wanajeshi kwa kutokuwa makini na kusababisha mlipuko !?
 
Asante kwa picha za google hongera sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jitahidi utafanikiwa
Hiyo ni moja ya mbinu ambayo huwa wanaitumia kupunguza maumivu yao.

Ukiona wanapost maelezo mengi na kuandika taarabu ujue ni mbinu ya kupunguza maumivu.

Ukiona wanapost picha za kuokota mitandaoni ujue ni maumivu wanapunguza.

Wabongo punguzeni sindano [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bongolala kwenye ubora wake,hivi hamjui huwaga kuna Military Games, na huwa tunawakilisha East Africa kinoma noma aisee, ukiskia KE tu basi East Africa nayo shangwe na nderemo! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
ndo maana mnaolewa na alshabab alowaambia jeshi ni games ni nani?
 
Umeona kumbe huelewi watu wanazungumzia nini? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kaa kando kabisa!
sura mbaya ka haya mabanda apa [emoji116]
20210102_183640.jpg
 
Hiyo ni moja ya mbinu ambayo huwa wanaitumia kupunguza maumivu yao.

Ukiona wanapost maelezo mengi na kuandika taarabu ujue ni mbinu ya kupunguza maumivu.

Ukiona wanapost picha za kuokota mitandaoni ujue ni maumivu wanapunguza.

Wabongo punguzeni sindano [emoji23][emoji23][emoji23]
Kimeumana, dawa naona inafanya kazi hadi "Judas" amewaingia akilini. Ni kwenyu, that's a fact, alafu acheni kuwafukuza kwenye slums wale watu, eti ndio mnyakue ardhi yao, duh! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hiyo ni moja ya mbinu ambayo huwa wanaitumia kupunguza maumivu yao.

Ukiona wanapost maelezo mengi na kuandika taarabu ujue ni mbinu ya kupunguza maumivu.

Ukiona wanapost picha za kuokota mitandaoni ujue ni maumivu wanapunguza.

Wabongo punguzeni sindano [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatengeza blog wanaweza picha ovyo alaf wanakwambia dar ili nawenyewe wapate kupunguza maumivu yao 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom