Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka hiyo mara tatu nicheke, 2021 list isha chapishwa., tandaza hapa tuone hiyo mara tatu yako dogo 😂 😂 😂 😂 kilaza unajitekenya na kucheka mwenyewe😂😂😂😂, alafu Africa below 35 millionaires ni Kenya inaongoza, uko na habari kweli?., ina maana nyie mlio humu jf ni mafukara, yaani malofa tu..,😂😂😂
Uhehehehe unataka kudanganya ulimwengu kua 2020 pamoja na covid kuwachanganya kisawasawa ndio mumepata millionares zaidi ya 2019 🤣🤣🤣🤣🤣 au Mungu ana hekalu kenya ???

hio hio covid imewakoseha ajira zaidi ya watu million 3 kenya alaf millionares ipande kwenda juu hebu weka source ya 2021 kua kenya ina millionares wengi kuliko tanzania
 
Full kilaza at his best!😂😂😂😂😂😂😂nikikuita semi illitrate unanuna, sasa ona? 😂 😂 😂 😂 , tell me 25% of fertile land ni kiwango kipi? in hectares..,na iko sehemu ipi ya nchi kwa wingi? wacha nikusaidie, lies mostly in western region of Kenya towards Uganda, kwa waluhya sana sana.,Moi na Kenyatta wako rift valley na central, and coast, hawana miliki yeyote western!, na how many in hectares do the kenyattas and Moi own? and others u claim to know? and in which places are there farms? utasemaje kuhusu Lord Delemere (mzungu) anae own ranch and a big farm in Naivasha, unajua Naivasha iko vipi?, ni somewhat semi arid, ile familia wana irrigate., hakuna mzungu ana own fertile land in Kenya kwa wingi, Delmonte ni muwekezaji, amepewa lease to create employment na kuchangia uchumi, Kenyatta owns big swaths of land in coastal region, not good for farming, za Kiambu mingi waliuza zamani., so swali langu kwako kilaza; waluhya wenye wana own big lands kule scheme, thousands of acres in western and trans-nzoia areas sio wakenya sio? Kalenjin wa rift valley sio wakenya? wajaluo wenye ukoo Nyanza hizo sio zao ni ni za Moi na Kenyatta, na wazungu na bebeberu kwa kauli yako? unapata tabu sana😂😂 Na Wakuria je wanao pakana na watanzania pale Isbania? na wa Maasai? na Wa kisii pia sio wakenya? Turkana? Borana? Pokot? hawa wote ni masquota?😂😂😂😂 Wakamba utasema nini? ardhi ya Machakos na Kitui county ni ya wana siasa na akina Kenyatta sivyo?😂😂😂😂😂😂.., fala wewe haujui Kenya, unatamani tufanane kwa ufukara lakini wapi, walie walisha propaganda walikufa., sasa mmebakia kutapatapa tu😂😂😂, mnashangaa shangaa tu..,
Haya oneni mtu anaandika gazeti zima kwa hasira kali 😁😁😁😁 nonsense

leo hii tunaongea mm na ww kuna wazungu wanamiliki arable lands heka kwa maheka je mm nasema uongo??? 😆😆😆

nani hajui leo familia ya kenyatta inamiliki ardhi heka kwa maheka je mm naongea uongo??😀😀😀

je nani hajui leo politicians kama joho anamiliki mashamba lamu na malindi pamoja na maeneo ya dhulma kibao mombasa 🤣🤣 najua unaumia na ukweli unaujua

nani hajui leo familia ya arap moi inamiliki ardhi heka kwa maheka 😄😄😄

nani hajui leo familia ya kibaki inamilikia radhi kubwa heka kwa maheka ??😆😆😆

nani hajui leo familiya ya raila odinga inamilikia mashamba makubwa heka kwa maheka ??😁😁😁

Nani hajui leo kama politicians na viongozi wa serekali wanamilikia mashamba kubwa na miradi mikubwa mikubwa kenya vi kenya kuna politician maskini kweli?? Leo zungumza ukweli bila kilio 😆😆😆😆
 
Tunanunua ngano kwa wakulima wenu kisha tunawarudishia ikiwa unga wapike chapo na mahamri 😂 😂 😂 😂 😂
Azam anakiwqnda kikubwa cha unga wa ngano africa nzima 😂😂 umesahau mulinyima kibali kuekeza mombasa yule mombasa maize millers akaenda kuhonga bungeni wasipitishe

Azania second biggest company in east africa after azam wana viwanda rwanda, burubdi, malawi,zambia

camel flour

mo safi flour

nyati flour mills

etc
 
Tunanunua ngano kwa wakulima wenu kisha tunawarudishia ikiwa unga wapike chapo na mahamri 😂 😂 😂 😂 😂
Labda hujui maana ya unga wa ngano 🤣🤣🤣😆👇👇👇

EEA4F24B-F1C3-46E9-945E-999D4D14D70E.jpeg
 
Haya oneni mtu anaandika gazeti zima kwa hasira kali 😁😁😁😁 nonsense

leo hii tunaongea mm na ww kuna wazungu wanamiliki arable lands heka kwa maheka je mm nasema uongo??? 😆😆😆

nani hajui leo familia ya kenyatta inamiliki ardhi heka kwa maheka je mm naongea uongo??😀😀😀

je nani hajui leo politicians kama joho anamiliki mashamba lamu na malindi pamoja na maeneo ya dhulma kibao mombasa 🤣🤣 najua unaumia na ukweli unaujua

nani hajui leo familia ya arap moi inamiliki ardhi heka kwa maheka 😄😄😄

nani hajui leo familia ya kibaki inamilikia radhi kubwa heka kwa maheka ??😆😆😆

nani hajui leo familiya ya raila odinga inamilikia mashamba makubwa heka kwa maheka ??😁😁😁

Nani hajui leo kama politicians na viongozi wa serekali wanamilikia mashamba kubwa na miradi mikubwa mikubwa kenya vi kenya kuna politician maskini kweli?? Leo zungumza ukweli bila kilio 😆😆😆😆
Blah blah blah za abunuasi no facts😂😂😂😂😂, semi illiterate wewe😂😂😂😂😂., unatamani sana wakenya wakue vile unafikiria ili ujiliwaze lakini halitatokea., stay in your lane alone😂😂😂😂
 
Full kilaza at his best!😂😂😂😂😂😂😂nikikuita semi illitrate unanuna, sasa ona? 😂 😂 😂 😂 , tell me 25% of fertile land ni kiwango kipi? in hectares..,na iko sehemu ipi ya nchi kwa wingi? wacha nikusaidie, lies mostly in western region of Kenya towards Uganda, kwa waluhya sana sana.,Moi na Kenyatta wako rift valley na central, and coast, hawana miliki yeyote western!, na how many in hectares do the kenyattas and Moi own? and others u claim to know? and in which places are there farms? utasemaje kuhusu Lord Delemere (mzungu) anae own ranch and a big farm in Naivasha, unajua Naivasha iko vipi?, ni somewhat semi arid, ile familia wana irrigate., hakuna mzungu ana own fertile land in Kenya kwa wingi, Delmonte ni muwekezaji, amepewa lease to create employment na kuchangia uchumi, Kenyatta owns big swaths of land in coastal region, not good for farming, za Kiambu mingi waliuza zamani., so swali langu kwako kilaza; waluhya wenye wana own big lands kule scheme, thousands of acres in western and trans-nzoia areas sio wakenya sio? Kalenjin wa rift valley sio wakenya? wajaluo wenye ukoo Nyanza hizo sio zao ni ni za Moi na Kenyatta, na wazungu na bebeberu kwa kauli yako? unapata tabu sana😂😂 Na Wakuria je wanao pakana na watanzania pale Isbania? na wa Maasai? na Wa kisii pia sio wakenya? Turkana? Borana? Pokot? hawa wote ni masquota?😂😂😂😂 Wakamba utasema nini? ardhi ya Machakos na Kitui county ni ya wana siasa na akina Kenyatta sivyo?😂😂😂😂😂😂.., fala wewe haujui Kenya, unatamani tufanane kwa ufukara lakini wapi, walie walisha propaganda walikufa., sasa mmebakia kutapatapa tu😂😂😂, mnashangaa shangaa tu..,
In fact the Delameres have currently sold most of the Delamere farm. These Tanzanians are idiots. Other than the Finlay farm in Kericho, most of the land owned by white people in Kenya is useless to an average person considering it's mostly in arid areas and requires expensive irrigation to e productive. Waulize how many people in Tanzania can afford this kind of farming?

1.jpg
 
View attachment 1806117
Hawa watu ni fukara licha ya mashamba, wakulima wengi wako ovyo, sielewi ni kwa nini!., Ichoboy01 is looking at Kenya through Tanzanian lenses and propaganda that they have been fed, thus skewed reasoning, so he thinks Kenya ni kama Tanzania., farming in rift valley ni mechanized kama yote na wetsrn scheme area, hawa bado wako subsistence, ndio maana their land isn't giving them value for money., ni hand to mouth. Can't make wealth.
 
hio style yenu noma yani mtu anatua na mgongo mwangine anatua na sura/uso

au mlijaribu kuigilizia hii View attachment 1805663
Hawa jamaa walishangaza watu cku ile, yn tulikuwa tunaambiwa wapo juu wanakuja wakati hatuwaoni, baada ya dakika kadhaa tukaanza kuona kama nukta zinakuja baadaye ndo hao tukaanza kuwaona, na wakashukia pale pale uwanjani aisee, TPDF haijawahi kushindwa aloo. Alafu haya mambo ni kurithi kizazi mpk kizazi, hii TPDF toka enzi za Mwalimu mpk leo iko super, lkn KDF miaka nenda rudi ni jeshi dhaifu lisilokuwa na rekodi yeyote ya kushinda vita na ndiyo maana hata hawa wa sasa wamerithi udhaifu wa kaka zao.
 
Hawa watu ni fukara licha ya mashamba, wakulima wengi wako ovyo, sielewi ni kwa nini!., Ichoboy01 is looking at Kenya through Tanzanian lenses and propaganda that they have been fed, thus skewed reasoning, so he thinks Kenya ni kama Tanzania., farming in rift valley ni mechanized kama yote na wetsrn scheme area, hawa bado wako subsistence, ndio maana their land isn't giving them value for money., ni hand to mouth. Can't make wealth.
😅😅😅😅😅

Sio wewe nimekuonesha commercial timber farming in Tanzania leo and how it creates billionaires?

Unaweza kunionyesha ya Kenya?
 
In fact the Delameres have currently sold most of the Delamere farm. These Tanzanians are idiots. Other than the Finlay farm in Kericho, most of the land owned by white people in Kenya is useless to an average person considering it's mostly in arid areas and requires expensive irrigation to e productive. Waulize how many people in Tanzania can afford this kind of farming?

View attachment 1806117
Ninyi hata kufanya farming ya kujilisha by 20% of your total food consumption tu itawachukua miaka 30000, ndio uje kutufundisha watanzania irrigation farming

Unataka nikuletee irrigation schemes ngapi kama hizo Tanzania? Chagua mwenyewe! 😁😁😁
 
Back
Top Bottom