Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza wacheni kula albino[emoji23][emoji23][emoji23] naskia kule sumbuwanga wanawindwa kama kuku
sie au nyie?
20201214_145128.jpg
 
Huwa wanafanya sana hayo mambo uwanjani...na nyie jana mkaamua kuiga
Hawafanyi bhana, sisi mazoea yale, mkasa wa ajali haufanyi lolote lile, jeshi bado imara kama kawa! 🤣 🤣 🤣 Cheki mambo hapo chini...👇
 

Attachments

  • Sx6lJETYGu_ezbUJ.mp4
    2.9 MB
Na hapo hapo tanzania ina millionares mara tatu ya kenya uganda and rwanda combined 🤣🤣🤣🤣🤣
Weka hiyo mara tatu nicheke, 2021 list isha chapishwa., tandaza hapa tuone hiyo mara tatu yako dogo 😂 😂 😂 😂 kilaza unajitekenya na kucheka mwenyewe😂😂😂😂, alafu Africa below 35 millionaires ni Kenya inaongoza, uko na habari kweli?., ina maana nyie mlio humu jf ni mafukara, yaani malofa tu..,😂😂😂
 
75% jangwa alaf 25% inamilikiwa na familia kadhaa tu 🤣🤣🤣🤣 alaf wengine muko kwenye slums zinazomilikiwa na serekali ten
Full kilaza at his best!😂😂😂😂😂😂😂nikikuita semi illitrate unanuna, sasa ona? 😂 😂 😂 😂 , tell me 25% of fertile land ni kiwango kipi? in hectares..,na iko sehemu ipi ya nchi kwa wingi? wacha nikusaidie, lies mostly in western region of Kenya towards Uganda, kwa waluhya sana sana.,Moi na Kenyatta wako rift valley na central, and coast, hawana miliki yeyote western!, na how many in hectares do the kenyattas and Moi own? and others u claim to know? and in which places are there farms? utasemaje kuhusu Lord Delemere (mzungu) anae own ranch and a big farm in Naivasha, unajua Naivasha iko vipi?, ni somewhat semi arid, ile familia wana irrigate., hakuna mzungu ana own fertile land in Kenya kwa wingi, Delmonte ni muwekezaji, amepewa lease to create employment na kuchangia uchumi, Kenyatta owns big swaths of land in coastal region, not good for farming, za Kiambu mingi waliuza zamani., so swali langu kwako kilaza; waluhya wenye wana own big lands kule scheme, thousands of acres in western and trans-nzoia areas sio wakenya sio? Kalenjin wa rift valley sio wakenya? wajaluo wenye ukoo Nyanza hizo sio zao ni ni za Moi na Kenyatta, na wazungu na bebeberu kwa kauli yako? unapata tabu sana😂😂 Na Wakuria je wanao pakana na watanzania pale Isbania? na wa Maasai? na Wa kisii pia sio wakenya? Turkana? Borana? Pokot? hawa wote ni masquota?😂😂😂😂 Wakamba utasema nini? ardhi ya Machakos na Kitui county ni ya wana siasa na akina Kenyatta sivyo?😂😂😂😂😂😂.., fala wewe haujui Kenya, unatamani tufanane kwa ufukara lakini wapi, walie walisha propaganda walikufa., sasa mmebakia kutapatapa tu😂😂😂, mnashangaa shangaa tu..,
 
Muulize mseven alipokuja kenya alifanywaje, jiulize kwanini bobi wine alikuja kenya, jiulize kwanini free bobi wine hashtag ilitrend sana kenya.
Hebu tueleze alifanywa nn ?? Kuna kitu gani mushawah mfanya mseven nyinyi ikiwa tribalism inawatoa nyaa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom