Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na bado tuko mbele yenyu, wakati huko mvua nyingi tu.... 😂 😂 😂 😂
Sasa Mpo mbele yetu kwenye nini wakati chakula mnachokula 100% ni msaada kutoka Tanzania, timber business yote Kenya imeshikiliwa na watanzania, nini unaongea we mwehu? 😁😁😁
 
Sasa Mpo mbele yetu kwenye nini wakati chakula mnachokula 100% ni msaada kutoka Tanzania, timber business yote Kenya imeshikiliwa na watanzania, nini unaongea we mwehu? 😁😁😁
Nionyeshe wapi Tanzania imetoa msaada na huo ufukara wenu wa kutisha vijijini licha ya mashamba, yani ni laana ya kiaina na aibu kwa taifa 😂 😂 😂 😂 , tusiponunua wakulima wenu 'wanakufa' walai!.,
 
By the way, ile Tai Chi JWTZ wanafundishwa huoni mnazinguliwa, jitu Nono alafu haliwezi kukaa position moja, eti ndo wakali wenyu, hehehe... Kuja huku KE uone venye teke inawekwa kwa hewa position ya 160° na ni polisi tu... 😂 😂 😂 😂
Vibaka wa Westgate wanapewa sifa 😁😁😁
 
Nionyeshe wapi Tanzania imetoa msaada na huo ufukara wenu wa kutisha vijijini licha ya mashamba, yani ni laana ya kiaina na aibu kwa taifa 😂 😂 😂 😂 , tusiponunua wakulima wenu 'wanakufa' walai!.,

Tanzania imebarikiwa eti unasema laana?

Nioneshe sector kama hii Kenya

Ramani inaonesha hii block 1 tu inasambaza timber East Africa nzima

Unajua ni watu kiasi gani wanaingiza mpunga?

East Africa yote inaitegemea Tanzania kwenye timber

Tanzania imebarikiwa eti unasema laana?

Nioneshe sector kama hii Kenya

Ramani inaonesha hii block 1 tu inasambaza timber East Africa nzima

Unajua ni watu kiasi gani wanaingiza mpunga?

Export ya timber haina shida, hatuwezi kushindana kwa ukataji wa miti. Hongera kwenyu!
 
Sasa Mpo mbele yetu kwenye nini wakati chakula mnachokula 100% ni msaada kutoka Tanzania, timber business yote Kenya imeshikiliwa na watanzania, nini unaongea we mwehu? 😁😁😁
Msaada? Tena kutoka Tz? Wewe bila shaka una corona ya ubongo...😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
By the way, ile Tai Chi JWTZ wanafundishwa huoni mnazinguliwa, jitu Nono alafu haliwezi kukaa position moja, eti ndo wakali wenyu, hehehe... Kuja huku KE uone venye teke inawekwa kwa hewa position ya 160° na ni polisi tu...
unazungumzia hii
20210602_100924.jpg
 
Tanzania imebarikiwa eti unasema laana?

Nioneshe sector kama hii Kenya

Ramani inaonesha hii block 1 tu inasambaza timber East Africa nzima

Unajua ni watu kiasi gani wanaingiza mpunga?

East Africa yote inaitegemea Tanzania kwenye timber

Laana ni eti nchi imebarikiwa lakini wananchi ni fukara tena sana., uchumi hafifu., nyie na Congo in conduct mnatofautiana but in principle you are one and the same., ovyo kabisa, shida ni fikra, sio kukosa ama kukua na rasilmali., think bwana, jaribu ku reason, kulikoni?
 
Tanzania imebarikiwa eti unasema laana?

Nioneshe sector kama hii Kenya

Ramani inaonesha hii block 1 tu inasambaza timber East Africa nzima

Unajua ni watu kiasi gani wanaingiza mpunga?

East Africa yote inaitegemea Tanzania kwenye timber

Na sio eti Tanzania inatoa msaada, la hasha, hamuna uwezo kwa sasa., pia Timber inatoka Congo., kibiashara.
 
Vitu kwa ground ni different! Welcome to Gamboshi a.k.a Ikulu ya wachawi... 😂 😂 😂
Screenshot_20210602_102113.jpg

Screenshot_20210602_102034.jpg

Screenshot_20210602_102017.jpg

Screenshot_20210602_101958.jpg

Screenshot_20210602_101935.jpg

Screenshot_20210602_101857.jpg

Screenshot_20210602_101832.jpg

Screenshot_20210602_101818.jpg

Screenshot_20210602_101801.jpg

Screenshot_20210602_101743.jpg

Screenshot_20210602_101723.jpg
 
Back
Top Bottom