Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimependa culture ya Watanzania kujenga homes and not kupanga apartments

Ukifikiria kwa jicho la kiuchumi kuna ajira nyingi sana zinazalishwa ni hii mode yetu of housings, multiply effects ni kubwa mno na ndio maana Tanzania haina Tatizo la ajira chronic kama kunya

fundirangiwistone_1622549262790_1.jpg

fundirangiwistone_1622549262790_3.jpg
fundirangiwistone_1622549262790_4.jpg
fundirangiwistone_1622549262790_7.jpg
fundirangiwistone_1622549262790_9.jpg
fundirangiwistone_1622549262789_0.jpg
 
Ndio unaona ceiling ya gypsum mara ya kwanza dogo😜😜😝😂😂🤣, unashangaa shangaa😲😲 inakubidi upost humu, ni majabu kwako😜😝😂😂😂🤣
Wewe umeona gypsum tu?
 
Iangalie hii minyumbu 😅😅😅😅

Kwanini isiseme Sudan, Somalia, Ethiopia? Yaani inashobokea Tanzania na sisi hatuwataki dadeq 😂😂😂😂
Shamba la bibi hilo, your govt knows you are genetically slow and weak kenyans can hijack your country. Lazima wakaze kinyambis lakini mama analegeza😂
 
Shamba la bibi hilo, your govt knows you are genetically slow and weak kenyans can hijack your country. Lazima wakaze kinyambis lakini mama analegeza😂
Mmeshindwa kuhijack poverty iliowatopea mpaka kwenye kope ndio Tanzania mtaimudu?

Ninyi kaeni huko huko kwenu, tunachoweza kuwahakikishia ni uhakika wa chakula kutoka kwetu sababu ninyi ni fukara na dhaifu wa chakula primarily.
 
Naona watanzania kazi yao ni kufuatilia habari zinazoendelea huku Kenya sisi hatujui habari zenu mwehu nyinyi shughulikeni na kwenu ama hamna cha msingi
 
Mmeshindwa kuhijack poverty iliowatopea mpaka kwenye kope ndio Tanzania mtaimudu?

Ninyi kaeni huko huko kwenu, tunachoweza kuwahakikishia ni uhakika wa chakula kutoka kwetu sababu ninyi ni fukara na dhaifu wa chakula primarily.
Tanzania tunaigeuza colony yetu ndani ya mwaka mmoja tu endapo mama ataruhusu free flow of goods and people😂😂😂 you people are slow and weak thanks to ujamaa.
 
Tukikosa kuwanunulia si kitaoza mashambani kama juzi mlivyoanza kulia baada ya block, na ukumbuke sio nchi zote hufanana, so nyie wakulima, limeni aisee tunakuja kununua sisi, tena bei che kabisa! 🤣 🤣 🤣
 
Tanzania tunaigeuza colony yetu ndani ya mwaka mmoja tu endapo mama ataruhusu free flow of goods and people😂😂😂 you people are slow and weak thanks to ujamaa.
Na wana bahati mashamba ni property ya serikali, bila hivyo tungenunua yote tu tuwalimishe mihogo,ndio jioni wapite bezi wapate mihogo na kitimoto anga! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom