Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣 siku hzi ili wapunguze maumivu wanatengeza blog wanapachika picha za ovyo waseme dar 👇👇👇👇👇View attachment 1805744View attachment 1805745
Mwache mzungu afanye mambo yake. Adam bemma 👇👇👇
images.jpeg
 
I presume kwamba wewe ni binti mrembo unayekidhi haja ya moyo wangu hivyo jiheshimu nisije nikashushia mvua ya unachostahili.
Waugua mpka mitandaoni, kweli mabinti wa siku mnanyezwa kupindukia..
Watakupararua na hzo shobo zako za kijinga..fuata yako wengine hawana time na hisia zako
 
Na hapo hapo tanzania ina millionares mara tatu ya kenya uganda and rwanda combined 🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo ni sector 1 tu ya forestry ina billionaires kama wote, bado hatujagusa kilimo, uvuvi, madini, viwanda, usafirishaji, ujenzi, biashara, media dadeq list ni ndefu sana 😁😁😁😁

Hivi hajui kwenye uvuvi huwa tuna ndege maalum za kusafirisha samaki kutoka Lake zones kwenda mikoani daily na nyingine overseas? Kitu ambacho wao ni ndoto 😁😁😁

Sasa kwa nini tusiwapite kwenye numbers of rich people?
 
Back
Top Bottom