Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi wewe Komora mbona hujiamini kiasi hicho? Au unadhani kufungua akaunti nyingi hapa jf ndio utawin hii battle? Mara unajiita Coconut Reborn, mara Kim Dawizzy (wizard). Tulia na id yako ya Komora bwana acha kuyumbisha dish lako!
Mmepaniki, relax dawa iingie! 🤣 🤣 🤣
Screenshot_20210602_112548.jpg

Screenshot_20210602_112902.jpg

Screenshot_20210602_112916.jpg

Screenshot_20210602_112931.jpg
 
Hivi wewe Komora mbona hujiamini kiasi hicho? Au unadhani kufungua akaunti nyingi hapa jf ndio utawin hii battle? Mara unajiita Coconut Reborn, mara Kim Dawizzy (wizard). Tulia na id yako ya Komora bwana acha kuyumbisha dish lako!
Acha nyege wewe, umepagawa nini😂
 
Mbona misipeleke Hao Jeshi wenu wrestling ama [emoji3037] tuone,Watapigwa mpaka watoke meno,Endeleeni Kuvunja mawe
hivyo vitu ni agreement maalum huwezi ukapeleka jeshi tu sehemu for nothing utakuwa ni uchizi ,,ndiyo maana hata mmarekani kajenga base huko kwenu anasababu yake maalum kuna vitu anatarget pia ndiyo maana anawapa misaada na kulilipa jeshi lenu kwenye hiyo mission ya somalia
 
asa kama we ndo mjanja na na ni nshamba hivi si balaa hili
Wee kingwendu, hujui humour??? Aisee shule muhimu kwenda nyie mabruda!!! Yaani unajiabisha mbele yangu wewe! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
nime try sana kuwa keen,.. nime try sana kuona ni Sekta gani Tz inaizidi jirani yake kenya... lakini walai mamangu[emoji848], sijai ona ni wapi hasa, sija wona ata moja[emoji121]... yani tumewazidi hawa watu kwa kila jambo
endelea kujidanganya
 
Tulia serikali ile na nyie bampa to bampa... 😂 😂 😂
Serikali na yenyewe ina mashamba yake zaidi ya mashamba makubwa 80 ya commercial nchi nzima

Some of them

images - 2021-06-02T113408.173.jpeg
images - 2021-06-02T113424.133.jpeg
images - 2021-06-02T113447.519.jpeg

And of course it give out free timber seedlings to the locals 😅😅😅
 
Njoo ukaone hako ka binti kama hujakuntana na ukuni kilo tano ma*mae!
"hujakuntana" ndio mnyama gani??? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Tulia hebu nsije nkakukata kibao!!! Kudadadeki!
 
Asante kwa kutuonyesha nyumba za white investors unakofanyia kazi ya gardener! 😀 😀 😀
Wacha kujianika, kumbe gardener wewe, haina wasi utatoboa tu one day pia nawe uwe na Ghetto lako Dar! 😎
 
Tanzania kwenye hizi issues za ujenzi, furniture, decors aisee bora mtuache tu

kuna baadhi ya mafundi furnitures watoto wa keko kibao nawajua wapo nairobi na mombasa wamefungua ofisi za itengenezaji sofa huko aisee wanasema wanapiga pesa kinoma,japo wakenya wengi choka huwa wanashindwa kununua ila wateja wao wakuu ni matajiri yaani wanasiasa na investors
 
hivyo vitu ni agreement maalum huwezi ukapeleka jeshi tu sehemu for nothing utakuwa ni uchizi ,,ndiyo maana hata mmarekani kajenga base huko kwenu anasababu yake maalum kuna vitu anatarget pia ndiyo maana anawapa misaada na kulilipa jeshi lenu kwenye hiyo mission ya somalia
Bongolala kwenye ubora wake,hivi hamjui huwaga kuna Military Games, na huwa tunawakilisha East Africa kinoma noma aisee, ukiskia KE tu basi East Africa nayo shangwe na nderemo! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom