Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi mkuu, hujambo. Wacha nichangamshe umati alafu nije kule base!... Ova! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Niko poa kabisa, haina noma!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Usitake nilete wakenya waliobaki mifupa tu Nairobi, turkana, marsabit, lamu, wajiir, pokot, mandera, Mombasa,, lodwaa,

Zile pictures huwa hata mimi zinanikifu ila ukitaka nitazileta huku in tones
Mimi nadhani utaleta data kumbe ni picha, haya basi fanya haraka
 
Unaingia kwa website za magaidi, tunawajua watu ka nyinyi wa itikadi za kihuni. [emoji23]
hii nayo ni website ya magaidi?
20210102_153701.jpg
 
Laana ni eti nchi imebarikiwa lakini wananchi ni fukara tena sana., uchumi hafifu., nyie na Congo in conduct mnatofautiana but in principle you are one and the same., ovyo kabisa, shida ni fikra, sio kukosa ama kukua na rasilmali., think bwana, jaribu ku reason, kulikoni?
Uchumi wetu hautegemei mikopo kama huu 🤣🤣🤣👇👇👇 nchi imefeli kwenye kila sector leo hii wb bank wanasema munaufukara zaidi ya zimbabwe alaf unakuja zungumzia GDP hapa 😆😆😆
3672CEAA-EC7F-4C40-AA02-3DCD26F830EF.jpeg
 
Wee, kateni miti bhana! Staki topic ya timber, tunajua mna supply timber, go to work fella! 🤣
We kichaa unafikiri tunakata miti au tunafanya forestry business?

Ardhi huku sio tatizo, kukuta mtu binafsi ana hekari 1000 ni kitu cha kawaida, so unataka hekari zote hizo alime malimao?

This is what people do then reap off your wallets in Kunyaland

In only 5 years without any strong investment people are becoming millionaires from timber business,

images - 2021-06-02T110504.873.jpeg
images - 2021-06-02T110526.940.jpeg
images - 2021-06-02T110601.210.jpeg
images - 2021-06-02T110636.979.jpeg
images - 2021-06-02T110653.487.jpeg
images - 2021-06-02T110710.157.jpeg
 
We kichaa unafikiri tunakata miti au tunafanya forestry business?

Ardhi huku sio tatizo, kukuta mtu binafsi ana hekari 1000 ni kitu cha kawaida, so unataka hekari zote hizo alime malimao?

This is what people do then reap off your wallets in Kunyaland

In only 5 years without any strong investment people are becoming millionaires from timber business,

View attachment 1805692View attachment 1805693View attachment 1805694View attachment 1805695View attachment 1805696View attachment 1805697
Naton Jr, nilidhania kaburi kumbe ni kibao cha maelezo! 🤣 🤣 🤣 Well done
 
Tulia serikali ile na nyie bampa to bampa... 😂 😂 😂
 
Naton Jr, nilidhania kaburi kumbe ni kibao cha maelezo! 🤣 🤣 🤣 Well done
Hilo shamba la mtu mmoja

Na hayo ndio most greenery places in Tanzania, halafu eti mnafikiri watu wanaharibu mazingira?

They are actually harvesting and replanting in intervals throughout the scheduled programme, so every time will be lush green kumbe watu are becoming billionaires

Businessmen in areas like Kariakoo and China are predominantly Populated by people from timber farming 😁🤣🤣😁

Kaeni mkijidanganya ni uharibifu wa mazingira 😁😁😁
 
Billionare sio, mmeongeza wengine au ni zile bilioni za Bongo tunaongelelea? 😂
 
Back
Top Bottom