ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Sasa km ali rule with iron fist kwn alikuwa rais wenu? Kwn kuna mkenya alidhulika na uongozi wake? Mbn mnakuwa wanafki sn kwenye hamna?Mkenya aliyempenda yule mzee, RIP JPM, basi alikuwa ana loose nut pahali upstairs!He ruled with an iron fist, and you were the victims.
Si hata nusu ya eneo la nairobi misitu pia ina wenyewe🤣🤣🤣🤣U love green environment wakati 90% ya Kenya ni jangwa![]()
So ali rule mpk KenyaMkenya aliyempenda yule mzee, RIP JPM, basi alikuwa ana loose nut pahali upstairs!He ruled with an iron fist, and you were the victims.

Alaf eti matajiri wao hawana dream ya kujenga house kwa plan zao yani kuna kitu nyuma ya pazia wanajaribu kuficha lakini wapi🤣🤣🤣Huwezi kupost picture 2 za kenya posh areas bila kutanguliza cages, ni tajiri gani anakaa kwenye hizi standard of cages you are showing us? 😅😅😅
Haya ameaza kulia sasa🤣🤣 sisi pia tumefika nairobi umeelwa tatizo la maji nairobi ni tatizo kubwa sana tena la miaka mingi sana wala huna haja ya kupita kulia na kushoto ikiwa state house inakosa maji unategemea nani atapata majiSwala la maji ni kitu kipo but it's not something that happens evertime. Nairobi inategemea maji kutoka Ndakaini Dam na wakati wa kiangazi ndio hiyo shida ya maji hutokea. I think I am lucky coz tangu nianze kuishi Nairobi personally I have never experienced this problem but I know this is not the case with everyone. There are many ongoing projects aimed at solving this problem unless you just haven't heard about them.
Back to the expressways, ni wapi ulisoma kwamba only the rich will use the expresway? This is what we call misinformation being dished out. Toll service ya hiyo expresswsy will be purely OPTIONAL! Utatumia tu expressway if you feel the need to. Remember that this road is being expanded from its current capacity and it will also come with a brt system. Hizi zote ni toll service? Kwani Nairobi iko na interchanges ngapi? Are they toll roads too? And do these interchanges solve the same problem Kijazi interchange solves? Wacha kuongea kishabiki. Nimeona maana ya ile msemo kwamba maskini akipata matako hulia mbwata!
Swala la maji ni kitu kipo but it's not something that happens evertime. Nairobi inategemea maji kutoka Ndakaini Dam na wakati wa kiangazi ndio hiyo shida ya maji hutokea. I think I am lucky coz tangu nianze kuishi Nairobi personally I have never experienced this problem but I know this is not the case with everyone. There are many ongoing projects aimed at solving this problem unless you just haven't heard about them.
Back to the expressways, ni wapi ulisoma kwamba only the rich will use the expresway? This is what we call misinformation being dished out. Toll service ya hiyo expresswsy will be purely OPTIONAL! Utatumia tu expressway if you feel the need to. Remember that this road is being expanded from its current capacity and it will also come with a brt system. Hizi zote ni toll service? Kwani Nairobi iko na interchanges ngapi? Are they toll roads too? And do these interchanges solve the same problem Kijazi interchange solves? Wacha kuongea kishabiki. Nimeona maana ya ile msemo kwamba maskini akipata matako hulia mbwata!
Posh house zina wenyewe ila mji umezungukwa na slums 🤣🤣🤣Na hii pia ni Nairobi ile ya malls kila kona ma posh house
Again google pics 🤣🤣🤣🤣 kweli umepanic mzee
Wanamwaga nyuma ya ikulu🤣🤣🤣Na huyu akishachota kwenye hiyo two wheeler ndio na yeye anaenda kumwaga sijui wapi huko?
Beautiful roadWestern bypass or missing link, 16.7 km roadView attachment 1802976View attachment 1802977View attachment 1802978