Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dooh nimewaonea imani 😭😭😭😭😭

2792268_20210530_134647.jpg
Ni kinyesi ama?
 
Msikieni huyu mwehu, wkt yeye mwenyewe hajui kiswahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata kama hakijui, ukweli ni huku nje Kiswahili kinajulikana ni cha KE, yeyote yule ukimuuliza, KE ndio kitu cha kwanza kutaja. 😂 😂 😂 Haina shida lkn, ni chenyu hatukiibi...
 
Jamaa hawajapenda hata kidogo 🙂Hilo halina ubishi 🙂 maisha ya wenzetu Noma Sana 🙂
Vipi South B, South C, Nairobi West, Nairobi South, Bellevue, Akiba, umewaonyesha ndugu zako? Huko pia ni kwa commoners, Na ni Nairobi bado. Ata Runda nk usifike huko! 🤣 🤣 🤣
 
joe biden still remembers his connection with kenya and won't allow china to buy kenya
joe biden.jpg
 
Back
Top Bottom