Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sehemu nyingi hazina maji wanachota njeView attachment 1802783🙄🙄
Mbona mnajisahaulisha?
Screenshot_20210515-122523~2.png
 
Mbona unabadili story ?nilikua nakibali mawazo yako kuhusu Arusha, ndio nikadokeza hata moshi ni pazuri...Dodoma panaenda vizuri Miaka5 mbele patakua sawa tu...wacha wajenge ringroads, inter airport na electrified SGR ianze kazi...patazidi hadi miji maarufu ya sasa
Sawa mkuu. Umeeleweka....Moshi sijawahifika so can't say much about it
 
Sehemu nyingi hazina maji wanachota njeView attachment 1802783🙄🙄
Kweli kufanya mambo ili tu upate sifa za kijinga ni aibu sana. Sasa huyu Uhuru Kenyatta badala ya ku-prioritize issue ya maji na Sanitary services kwa jiji la Nairobi yeye amekomaa na express way ambayo kimsingi haileti impact kubwa sana kwa majority of Nairobians. Ama kweli Kenya is half dead! Sisi TZ mara nyingi tunafanya miradi ambayo inaleta impact kwa watu wengi kwa maisha ya kila siku. We think big and ahead before we implement these big projects.
 
Hapo sasa naona utanzania imekuingia kikamilifu. Sasa kiongozi wa nchi akifanya maendeleo anatafuta sifa? Kwa hivyo hata Magu pia alikuwa akitafuta sifa alipowajengea barabara yenu ya kwanza ya flyover? Tuwache kuongea kishabiki bila kuwa na uelewa wa mambo, tutaonekana wajinga tu.

Pengine hujawahitumia barabara ya Mombasa rd so huwezielewa ni kwa nini hiyo expressway was a necessity. Ile barabara ndio main highway ya kutoka na kuingia JKIA. Watu wanapoteza mda mwingi sana kwenye hiyo barabara kutoka na foleni na hadi wengine kumiss hata flights zao just because they couldn't make it airport on time because of traffic gridlock. Do you have any idea how this impacts on the economy?

Kitu kingine huelewi ni kwamba services nyingi hapa Kenya zilikuwa devolved (this will need a whole day of lecture so let's leave it there). Na aliyekuambia kwamba hatuna miradi ya maji Kenya ni nani? Acha kuropokwa na maneno!
 
Picha zako hizi hizi daily huchoki aisee, watu tushaanza kumulika Dodoma wewe umekazana na Nairobi tu na picha zile zile za large scale
picha gani ya daily hapa!??.. kwani ushawai ona picha gani hapa before. hii yoote.. ni geni kwako aisee
 
Heheheh, I love the way I opened your eyes hadi umeleta Kisumu your 3rd largest city to compete with Morogoro,
Travel young man, Travel. Ukijifungia Kibera utahisi jua linazunguka hapo Nairobi pekee,
This is Arusha, the 3rd Largest City, mind you Tanzania is the most urbanised Nation in East Africa with bigger cities and towns.

Hapo sasa naona utanzania imekuingia kikamilifu. Sasa kiongozi wa nchi akifanya maendeleo anatafuta sifa? Kwa hivyo hata Magu pia alikuwa akitafuta sifa alipowajengea barabara yenu ya kwanza ya flyover? Tuwache kuongea kishabiki bila kuwa na uelewa wa mambo, tutaonekana wajinga tu.

Pengine hujawahitumia barabara ya Mombasa rd so huwezielewa ni kwa nini hiyo expressway was a necessity. Ile barabara ndio main highway ya kutoka na kuingia JKIA. Watu wanapoteza mda mwingi sana kwenye hiyo barabara kutoka na foleni na hadi wengine kumiss hata flights zao just because they couldn't make it airport on time because of traffic gridlock. Do you have any idea how this impacts on the economy?

Kitu kingine huelewi ni kwamba services nyingi hapa Kenya zilikuwa devolved (this will need a whole day of lecture so let's leave it there). Na aliyekuambia kwamba hatuna miradi ya maji Kenya ni nani? Acha kuropokwa na maneno!
My friend suala la ukosefu wa maji na uchafu wa jiji la Nairobi has been there for decades now but your governement has given it the back side. Kama unapinga hili basi wewe sio wa Nairobi au unapinga tu hi mradi umepinga. Hata Dar miaka ya nyuma tulikuwa na tatizo la maji katika maeneo kadhaa ya jiji. Kwa kutambua kuwa usafi wa jiji unaendena na upatikani wa maji serikali ilifanya miradi kadhaa ambayo imepunguza kwa kiasi kikubwa sana tatizo la maji katika jiji la dar.

Magufuli amejenga Kijazi (Ubungo) interchange ili kusolve suala la traffic congestion katika eneo hilo na impact yake inaonekana kila gari iwe ya tajiri au maskini inapita free of charge tofauti na hii express way yenu mnayojenga ambayo only the select (high and middle class) people watakuwa wanaweza kupita hapo tena kwa miaka karibu 30. (ndio maana nikasema miradi inayolenga kusaidia wananchi wote bila ubaguzi) na hata kama kuna mradi wa kulipia wanachi serikali yetu huwa inaweka viwango rafiki ambavyo hata wananchi wa kipato kidogo wanaweza ku-afford kulipia.
 
Mbona unabadili story ?nilikua nakibali mawazo yako kuhusu Arusha, ndio nikadokeza hata moshi ni pazuri...Dodoma panaenda vizuri Miaka5 mbele patakua sawa tu...wacha wajenge ringroads, inter airport na electrified SGR ianze kazi...patazidi hadi miji maarufu ya sasa
Hataki kusikia ss we mwache usimpe siri hii
 
Back
Top Bottom