Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,118
- 17,848
Estate maanake nini?huna hoja,,,,
endelea kupost estate huku ukiugua taratibu hiyo ndiyo kazi unayoiweza
Estate maanake nini?huna hoja,,,,
endelea kupost estate huku ukiugua taratibu hiyo ndiyo kazi unayoiweza
wenzenu wasafi nyie ni mwendo wa uchafu yaani kianzia material mpaka watu wa nairobi ni takatakahapa ni khayelitsha, capetown. but capetown still reign as africa's no1 city! [emoji848]. yatafakari ya babu..View attachment 1802666
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]Bongolala zitakuambia hapo hakuna zile Nyumba Tatu refu za Blue,Akili zao zimelala Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hii nini sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mnatia haibuView attachment 1802694
Kwa kupost picha mnitoe uhai mnirushe Sagana River wakenya bwana😀Utapoteza Kazi mhuni,ama pia ujipate Sagana river if you know wat I mean😃
Mgeni huyu mvumilieni tu, anarudia yale yale yaliyowekwa miaka iliyopita [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]forbes hiyo View attachment 1802684
muulize ndugu yako bwana mapesa atakupa jibuEstate maanake nini?
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji90][emoji117][emoji706][emoji2781][emoji3545]Dodoma mji umechoka mbaya leo uwe mfano africa, manina[emoji23][emoji23][emoji23]. Mtu apinge dodoma haijachoka kama yeye ni dume.
U love green environment wakati 90% ya Kenya ni jangwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lakini Dodoma ni pakavu, tuambiane tu ukweli. Mimi mji ninayovutiwa na mandhari yake hapo Tanzania ni Arusha. It's just green and welcoming. Personally I just love green environment
Nairobi sehemu nzuri za kuhesabu🙂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah wakenya wamekufuru kwa kweli si kwa life hovyo wanayoishi kama hii,,
wakenya wamepitiliza ,poor nairobi ,poor life
Tupo darasani sasa au sio watchman nicxie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Estate maanake nini?
Wanasema picha ulizopost ni nzr mbn wanakasirika ss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa kupost picha mnitoe uhai mnirushe Sagana River wakenya bwana[emoji3]
Uyo karudi na picha zake za Dar ya 90s[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh hii nchi ya wenzetu inashida gani kuhusu mazingira ya kuishi? Inasikitisha sanaKariobangi,kariadudu na kasabuni hii hapa haya ndo maisha ya wenzetu asilimia kubwa Wanakaa huku Emu linganisha na ghetto za home[emoji846]View attachment 1802293View attachment 1802303View attachment 1802306View attachment 1802307View attachment 1802314View attachment 1802322View attachment 1802323
Jamaa kwenye mitandao huwa wanajipiga Vifua Sana HAO ndo wenye modern only... The first kuna mitaa kadhaa ntapitia tuone uhalisia wa vitu kwenye ground naomba nipate muda tu 🙂Duh hii nchi ya wenzetu inashida gani kuhusu mazingira ya kuishi? Inasikitisha sana
Update: Chang"ombe flyover
Wengi wwmejipata huko,juu ya kiherehere😂😂😂😂Kwa kupost picha mnitoe uhai mnirushe Sagana River wakenya bwana😀
Kweli Kenya ni choka mbaya ,hivyo kama vibanda vya maoneshoMabati rollings....Buy kenyan build kenya 🤣 🤣 👇
![]()
MY TAKE
They are tarmacking the running track! Charcoal yard!
Haya Kila la kheri 🙂Wengi wwmejipata huko,juu ya kiherehere😂😂😂😂