Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Keko
Screenshot_20210530-181647.jpg
Screenshot_20210530-181748.jpg
Screenshot_20210530-181843.jpg
Screenshot_20210530-181926.jpg
 
Kweli kufanya mambo ili tu upate sifa za kijinga ni aibu sana. Sasa huyu Uhuru Kenyatta badala ya ku-prioritize issue ya maji na Sanitary services kwa jiji la Nairobi yeye amekomaa na express way ambayo kimsingi haileti impact kubwa sana kwa majority of Nairobians. Ama kweli Kenya is half dead! Sisi TZ mara nyingi tunafanya miradi ambayo inaleta impact kwa watu wengi kwa maisha ya kila siku. We think big and ahead before we implement these big projects.
Ndo maana alikuwa fast kumkanya Ruto kuhusu hustler vs dynasty politics! Anajua hatari yake!
 
My friend suala la ukosefu wa maji na uchafu wa jiji la Nairobi has been there for decades now but your governement has given it the back side. Kama unapinga hili basi wewe sio wa Nairobi au unapinga tu hi mradi umepinga. Hata Dar miaka ya nyuma tulikuwa na tatizo la maji katika maeneo kadhaa ya jiji. Kwa kutambua kuwa usafi wa jiji unaendena na upatikani wa maji serikali ilifanya miradi kadhaa ambayo imepunguza kwa kiasi kikubwa sana tatizo la maji katika jiji la dar.

Magufuli amejenga Kijazi (Ubungo) interchange ili kusolve suala la traffic congestion katika eneo hilo na impact yake inaonekana kila gari iwe ya tajiri au maskini inapita free of charge tofauti na hii express way yenu mnayojenga ambayo only the select (high and middle class) people watakuwa wanaweza kupita hapo tena kwa miaka karibu 30. (ndio maana nikasema miradi inayolenga kusaidia wananchi wote bila ubaguzi) na hata kama kuna mradi wa kulipia wanachi serikali yetu huwa inaweka viwango rafiki ambavyo hata wananchi wa kipato kidogo wanaweza ku-afford kulipia.
Swala la maji ni kitu kipo but it's not something that happens evertime. Nairobi inategemea maji kutoka Ndakaini Dam na wakati wa kiangazi ndio hiyo shida ya maji hutokea. I think I am lucky coz tangu nianze kuishi Nairobi personally I have never experienced this problem but I know this is not the case with everyone. There are many ongoing projects aimed at solving this problem unless you just haven't heard about them.

Back to the expressways, ni wapi ulisoma kwamba only the rich will use the expresway? This is what we call misinformation being dished out. Toll service ya hiyo expresswsy will be purely OPTIONAL! Utatumia tu expressway if you feel the need to. Remember that this road is being expanded from its current capacity and it will also come with a brt system. Hizi zote ni toll service? Kwani Nairobi iko na interchanges ngapi? Are they toll roads too? And do these interchanges solve the same problem Kijazi interchange solves? Wacha kuongea kishabiki. Nimeona maana ya ile msemo kwamba maskini akipata matako hulia mbwata!
 
This catalogue of Nazis concentration camps of Hitler ni tajiri yupi ataishi humu kwenye cages? 😅😅😅

2792236_images_67.jpeg
2792233_images_76.jpeg


Kuna zile nyingine za mapaa ya red na zenyewe zinatisha 😅😅😅
 
Huwezi kupost picture 2 za kenya posh areas bila kutanguliza cages, ni tajiri gani anakaa kwenye hizi standard of cages you are showing us? 😅😅😅
Sasa wewe unaingia mada yenye hata hujui kichwa ni wapi mguu ni wapi! Mwenzako kasema eti maeneo yote mazuri Nairobi wanaishi whites. I responded in a sarcastic way by posting a few rich neighborhoods and majority middle-incone areas ndio aone alivyo kilaza.

Alafu unasahau kwamba hizo cages ndio mfumo kule kwa matajiri wenu Masaki? Unakejeli cage wakati bwenyenye wenu anaishi ndani ya cage hapo Masaki 😂 😂 😂 What a satire!
 
Sasa wewe unaingia mada yenye hata hujui kichwa ni wapi mguu ni wapi! Mwenzako kasema eti maeneo yote mazuri Nairobi wanaishi whites. I responded in a sarcastic way by posting a few rich neighborhoods and majority middle-incone areas ndio aone alivyo kilaza.

Alafu unasahau kwamba hizo cages ndio mfumo kule kwa matajiri wenu Masaki? Unakejeli cage wakati bwenyenye wenu anaishi ndani ya cage hapo Masaki 😂 😂 😂 What a satire!
Dooh nimewaonea imani 😭😭😭😭😭

2792268_20210530_134647.jpg
 
tukisema tu ukweli, watz wana penda kenya saana!. ukiona mtu anajisumbua na ww sana, hadi anafanya upekuzi. hakupi nafasi.. anakufwata ata hadi bedroom. ujue tu huyo mtu anakupenda
They want be like us but they can't,so they feel Jealous 🤣🤣🤣🤣with a country double size than us and bigger population than us,but we almost double them in GDP,Roads, Electricity,Companies,Airports,Ports,etc,Yani almost everything 😭😂😂😂😂😂😂
 
Kama hawa ni wakikuyu, wakasikia unamsema vibaya uhuru kuhusu serikali yake kuiba 2 billion daily wanaweza kukuua na wakamtetea Rais wao mpaka wanaingia kaburini 😱😱😱😱

2792268_20210530_134647.jpg
 
Back
Top Bottom